Recent content by iikatseb

  1. I

    Msaada gharama za kubadili matumizi ya Ardhi

    Nimepewq bajeti ya 4,200,000.
  2. I

    Nauza kiwanja cha Sqm 1900 Kigamboni kwa Tsh. Milioni 45

    Mkuu ulifanikiwa kuuza hiki kiwanja ????
  3. I

    Nauza viwanja Mbutu Kichangani Kigamboni Sqm 756 na 745 kwa Tsh. Milioni 20 tu

    Eneo lipo Mbutu Kichangani 25km kutoka ferry. Kila kiwanja milioni 10 tu. Maelezo ya ziada yapo kwenye video hapo chini. 0683445266 Mawasiliano
  4. I

    Kuhusu biashara ya chakula kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara

    Uko sawa mkuu. Niliwahi kwenda Mbeya ule mkoa wanalima mchele ila hakuna sehemu utaenda kula wali au pilau ukute imepikwa vizuri. Kiufupi hao wakulima na wanaoendq kula na wapishi hawajali mapishi namna yoyote kitakavyopikwa wanakula. Usije ukapoteza muda na mtaji Mtwara bado uchumi uko chini...
  5. I

    Mfumo wa ununuzi ardhi (TAUSI) kuna katabia ufanywa na wafanyakazi halmashauri zenu

    Mkuu samahani naona vimeisha tayari vimeshawahiwa. Vilikua 34 ila vitaendelea kurudi kwa wale ambao hawajamaliza kulipa.
  6. I

    Mfumo wa ununuzi ardhi (TAUSI) kuna katabia ufanywa na wafanyakazi halmashauri zenu

    Mkuu leo ni miezi 3 imeisha kama ilivyo utaratibu kuna watu hawakumaliza kulipia hivyo usiku vimerudi na muda huu vimebakia 15. Kama unahitaji wahi kajipakulie minyama utafute hela ya kulipa kabla ya kuisha muda. Kumbuka ukilipa nusu ukashindwa kumalizia hutarudishiwa hata mia.
  7. I

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Wakuu nimenunua shamba heka 10 mwaka huu Arusha Halmashauri ya Meru nataka nilime maharage mbegu ni Seliani. Kama kuna mtu analima Shambarai anipe abc mana nimedhamiria kuingia kichwa na migu. Eeeh mola niongoze.
  8. I

    Mfumo wa ununuzi ardhi (TAUSI) kuna katabia ufanywa na wafanyakazi halmashauri zenu

    Mfumo haulimit idadi ni wewe na kuwahi kwako. Labda huko mbeleni wataweka limit kwa viwanja vile ni hotcake. Kikubwa uwe na pesa ukilipa nusu ikabakia labda laki 1 na hujamaliza hiyo hela uliyolipa mwanzo imeliwa.
  9. I

    Mfumo wa ununuzi ardhi (TAUSI) kuna katabia ufanywa na wafanyakazi halmashauri zenu

    Kuna ambavyo waliwekaga mara ya kwanza kutokana na wingi wa watu mfumo ulipata hitilafu. Wanaweka usiku ili wanaoingia wanakua wachache mfumo sio rahisi kupata hitilafu. Hata hivyo watumishi wa halmashauri hawakujua muda vitakapokuwa hewa. Mimi kawaida huwa naingia saa sita usiku na kuendelea na...
  10. I

    Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Mkuu nimenunua kiwanja nishalipa nusu nawaza kama nikienda halmashauri watakubali kuniongezea muda wa kumalizia kulipa vipi walikupa jibu gani ???
  11. I

    Mfumo wa ununuzi ardhi (TAUSI) kuna katabia ufanywa na wafanyakazi halmashauri zenu

    Mkuu hivi vya Meru waliweka saa sita usiku na kwakuwa nilikua navizia basi nilijipakulia minyama ya kutosha.
  12. I

    Biashara ya Nafaka mtaji mkubwa faida kiduchu

    Hii faida nimepiga mwezi wa 2. Mtaji nimenunua mashamba naingia rasmi kwenye kilimo huku nitarudi kutega kuna mtu alibutua mtego wangu.
  13. I

    Biashara ya Nafaka mtaji mkubwa faida kiduchu

    Mkuu kuna kuchanganya pia sasa mteja wa jumla anakwambia umletee mchele wa 1,400 na wewe unanunua kwa 1,200 ongeza gharama 100 upate faida ya 100 na kukukipa hakulipi yote. Cha kufanya tafuta mchele wa 1,000 punguza chenga unampelekea walau upate faida la sivyo anakufilisi
Back
Top Bottom