Nakumbuka wakati naanza chuo nilikua na chaguzi mbili kati ya kukaa nyumbani au hostel ila mwisho niliamua kukaa nyumbani na hela ya boom nikawa naiweka. Hadi namaliza nilikua na viwanja viwili na japo sasa nina kazi ila naamini baada ya miaka michache thamani yake itakua imepanda sana. Ni...
Jiunge halafu ukishapata text ya kwamba umeunganishwa unatuma ujumbe wa ONDOA kisha unatolewa. Ni vizuri kutuma huo ujumbe ili kuepusha kukatwa endapo hautakua na haja tena ya kujiunga mkuu. Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.