Recent content by IHANGILO

  1. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Napinga kwa nguvu ya hoja sheria ya vyama vya siasa

    Hili ni lakuoigia kelele kwa nguvu zote maana siraha ya mnyonge ni kelele..
  2. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Ukikiona cha nini wenzako wanasema watakipata lini.
  3. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Warudi watazame walipojikwaa wang'oe kisiki. Kama hawajui walipojikwaa wawaulize.
  4. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania ITV Wamekaushia Press Ya Lissu,Kesi ya CUF na Ya Lema

    Kwa ujumla ITV ya leo si ile ya mwaka Jana kurudi nyuma.
  5. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa "Bunge Live" wamwandama Nape

    Siri Kali, sijui wanatuficha nn. Zanzibar wanarusha baraza live.
  6. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Ajira ualimu 2015

    Nikipande cha Simba Chawene akiwasilisha hotuba yake ya bajeti ya mwaka 2016/2017
  7. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Ajira ualimu 2015

  8. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Maelfu wahudhuria mkutano wa Kinana, atoa majibu kuhusu kiwanda cha chai, Bumbuli-Tanga

    kuanzia dakika ya pili kinana anatoa amri kama nani bado ni ulaghai na usanii
  9. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

    asanteni mwanza kwa kishino hicho wajikusanye mwigulu, kinana, na baba yao...
  10. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Godbles Lema aondoke Arusha hii! I see the decline of Arusha under him

    Hamjui hujuma zinazo fanywa na serikali ya ccm eti kukomoa majimbo yanayo ongozwa na upinzani mjinga peke yake ndiye anaye weza kutotambua hujuma dhidi ya Arusha
  11. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Wabunge wasiokaa kwenye majimbo yao

    Still yet mnamchagua akiwapa unga
  12. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Wabunge wasiokaa kwenye majimbo yao

    Hahahaaa
  13. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Mwl.Nyerere foundation kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Ubungo Plaza

    Lo! kweli leo elimu imetolewa. Hebu walo tia pamba masikioni na wanadhamana ya kuinasua nchi katika mkwamo huu watoe pamba hizo wasikie kile kinacho zungumzwa na wataalamu.
  14. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania AJIRA ZA WALIMU WAPYA: Ni vitu gani muhimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti?

    komekaone;8921164]Wakuu tunawaomba mtujuze, kwa sisi Walimu wapya watarajiwa ni vitu gani muhimu ambavyo vitatakiwa tuwe navyo mara tutakaporipoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri tutakazopangiwa na pia katika shule husika. Tunaomba mtujuze mapema itatusaidia kuandaa mapema, na pia itatuepushia...
  15. IHANGILO

    JamiiForums Tanzania Zimebaki siku ngapi za kina Zitto?

    Mtoa hoja weka kumbukumbu zako sawa siku 14 zilitolewa kwa watuhumiwa wawe wamewasilisha maelezo yao. Hapakutajwa siku 14 ndo maamuzi yatatolewa.
Back
Top Bottom