Recent content by igwe sr.

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wabongo hatupendi kutoka as a family, tunatoka tu na washikaji?

    Hapa labda kama unalenga aina fulani za familia,ila asilimia kubwa ya familia hawaendi mbali na maeneo wanayoishi
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wabongo hatupendi kutoka as a family, tunatoka tu na washikaji?

    Kuna maeneo za kwenda na familia, uwezi ukatoka na mke na watoto mkaenda kukaa Bar,ila washikaji popote mnaweka maaskani
  3. I

    JamiiForums Tanzania Unyunyu wa 2022 "psiii psiii"

    Ni utuuli wenye harufu ya kizungu haukerii
  4. I

    JamiiForums Tanzania Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

    Mitandao inaenda Kasi Saana,Mungu atusaidie
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa makampuni ya soda Tanzania: Tubadilishieni vifungashio, hali ni tete

    kuna Hatua zinafuatwa kabla soda haijajazwa kwenye chupa,punguza wasiwasi.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Unyunyu wa 2022 "psiii psiii"

    Creed Aventure Matata saaana
  7. I

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa ambao tulijihisi tuna maambukizi ya Corona lakini tulijitibia nyumbani na sasa tumepona

    Kutafuna Tangawizi Mara kwa Mara Umeiwezaje inaitaji ujasiri saana
  8. I

    JamiiForums Tanzania Simbachawene jiuzulu kulinda heshima yako

    🤣🤣
  9. I

    JamiiForums Tanzania Jamani mnaokunywa kila siku ela mnaipata wapi

    Wanakwambia iga kutafuta na sio kutumia
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

    Nenda ka confess kwa rafiki yako
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hata kama kitanda hakizai haramu.

    Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia walengwa haswa
  12. I

    JamiiForums Tanzania Bodaboda 'za Lugola' zenye tela kuwa hivi...

    Bado nawaza kwa sauti
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Tumia shampoo badala ya kipande
Back
Top Bottom