Recent content by IGONDI

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya "zebra crossings" huchorwa mbele ya "traffic lights"? Nani anakuwa na haki kati ya dereva na mvukaji?

    Kama we huendeshi gari huwezi kumwelewa.Mimi Leo maeneo ya Mwenge imetutokea.Tumesimama kwenye taa baada ya taa kuturuhusu waenda kwa miguu wanataka kuvuka karibu tuwagonge.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

    Nadhani adhabu itekelezwe.Polisi wamekuwa wanaua raia wasio nahatia.Itasaidia kuwa wao pia wako chini ya sheria.
  3. I

    JamiiForums Tanzania TRA kunani kwenye leseni za udereva

    Usiseme uongo watu wanatembea name makaratasi.
  4. I

    JamiiForums Tanzania TRA kunani kwenye leseni za udereva

    Mimi nimelipia tangu 20 desemba2018 kurenew had leo sijapata leseni mpya. Nasikia ukitoa rushwa fasta unapata leseni.Tunasubiri tuone watakaanazo mpaka lini.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: IST ni gari wanayohongwa wanawake mitaani, siwezi kuitumia na siwezi kumpa askari wangu

    Hayo ma Vx hata Range rover mabwabwa kibao wanaendesha ya mabwana zao.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: IST ni gari wanayohongwa wanawake mitaani, siwezi kuitumia na siwezi kumpa askari wangu

    Wanasema hata LEXUS wait wanahongwa pia.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

    WANAJICHANGANYA TUU WATANZANIA SIO WAJINGA KIASI HICHO.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo Rais atafanya hivi?

    Kwanini lisiwezekane mbona watu wengi wamepotea na watu wake kimyaa tuu.Watu wasiojulikana na waliomshambulia Tindu Lissu mbona serikali iko kimyaa na inatuhumiwa?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wetu kwanini hamjifunzi majina/maneno fulani yanatamkwaje?

    Nadhani wewe pia huelewi matamshi halisi yanatokana na lugha halisi.KISHWAHILI UTATAMKA AJAX WENYEWE WOHOLANZI WANATAMKA AYAX.MFANO MSUKUMA AKITAMKA MASANJA NI TOFAUTI NA MZUNGU.ILA UNATAKIWA UJITAHIDI UTAMKE KAMA WENYEWE.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wetu kwanini hamjifunzi majina/maneno fulani yanatamkwaje?

    Unamkuta mtangazaji anatamka AJAX badala ya AYAX au BAKA badala ya BARCA.TENA VITO VIKUBWA KAMA AZAM AU CLOUDS
  11. I

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa leseni zote za madereva, vyeti vya vyuo kuanza nchi nzima

    Class F UMECHAPIA SIO YA MAGARI YA TRELA .HAYO YANAINGIA CLASS E
  12. I

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa leseni zote za madereva, vyeti vya vyuo kuanza nchi nzima

    Vipi hujaeleza kuhusu rushwa katika maelezo yako.Hizi leseni labda Ulaya au nchi zingine hapa kwetu so hivyo.Mimi nimelipa kurenew leseni yangu tangu 20/12/2018 sijapata hadi Leo.Kuna jamaa kasomea vyeta ana vyeti kaambiwa alete pikipiki na bas la abiria 65.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati tamthiliya ya Sultan isitazamwe na watoto, inawaumiza

    Nyie TCRA mnatakiwa mfanye si mpaka watu walalamike.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto atekwa na kunyongwa hadi kufa. Mtekaji alitaka mzazi auze nyumba amtumie hela Milioni 10

    Mbona hill jambo ni rahisi sana .Huyo mtekaji hana elimu na alikuwa anajifunza.
Back
Top Bottom