Recent content by igome kiamba

  1. igome kiamba

    Waziri Mkuu Majaliwa hana rekodi yoyote kiutendaji

    Hata wenye record walianza,na yeye ndio anaanza kujenga record yake sasa,Rais alisema hata ile sheria ukiomba kazi unaulizwa uzoefu wa muda gani unao hakuna tena.tumegundua wengi wanafaa lakini hawajapewa nafasi kwa kisingizio cha kukosa uzoefu
  2. igome kiamba

    Ratiba ya Utoaji heshima za Mwisho na kuaga mwili wa Alfonce Mawazo

    Msiba wa mwana siasa lazima ufanyke kisiasa na wahudhuriaji wengi ni wanasiasa
  3. igome kiamba

    Mwili wa Alphonce Mawazo wageuzwa kuwa suala la kisiasa

    Hongera jaji kwa weledi wako kazini ulioangalia haki za binadamu kikatiba
  4. igome kiamba

    Mafundi wa kumalizia nyumba

    Kama unahitaji fundi wa rangi,umeme,bomba,milango,tiles na kupaua tupigie kwa namba hii 0787 552 518,tuko arusha njiro.
  5. igome kiamba

    CV: Natafuta kazi ambayo itaniruhusu kupumzika hata Jumamosi tu.

    Bwana akupatie sawa na hitaji la moyo wako
  6. igome kiamba

    Wahudumu wa bank ya NMB tawi la Arusha Market ni zaidi ya kero

    Sio market tu,hata ngarenaro ni tatizo kubwa maana unakuta dirisha moja tu inafanya kazi,siku moja wateja tumeuliza tukaambiwa wahudumu wamejifungua,
  7. igome kiamba

    Natafuta msimamizi wa stationary

    Niko njiro nanenane hapa kuna binti mmoja anahitaji nafasi hiyo kama bado ipo nikuunganishe nae chap
  8. igome kiamba

    Watu wa visimbuzi vya ting na continetal njooni mtuambie kwa nini hamko hewani?

    Hapa ni siku tatu sasa hakuna channel hata moja kwa nini?
  9. igome kiamba

    Mfumuko wa bei: Vifaa vya ujenzi na vyakula vyapaa

    Kama bei ya nyama inafika 15,000/=kwa kilo moja hiyo ni hatari tupu
  10. igome kiamba

    Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    Siku moja JPM alisema akiingia anaanza na tanesco kwanza,sasa sijajua wanavyokata umeme wanambeep au?
Back
Top Bottom