Recent content by igom8

  1. I

    Mange atoswa na Vodacom

  2. I

    Zitto Kabwe amzika rasmi Machali kisiasa

    Vit maalum kwa mbunge mmoja mm binafc ciamin ktk siasa za zitto
  3. I

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Subir magufuli kesho nayo upime maana cdhan km atakuwa na majibu ya maswal kwa nn anashanga hakuna madawa wakt ccm ipo madarakani? Kwann anasema daraja likiishaa la kigamboni wite watapita bure ihali mwanzo alisema litakuwa la kulipia???? Lowas amejib vizur tu mm ckuona shida aliyopata
  4. I

    Magufuli anakikimbia chama chake au chama kinamkimbia?

    Magufuli anakikimbia chama chake au chama kinamkimbia? Jenerali Ulimwengu Toleo la 425 Raia Mwema 30 Sep 2015 KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo hujijengea dhana yake ya hicho...
  5. I

    Magufuli kumuamuru RPC Dodoma ni haki?

    Ahida kubwa ni yy kutumia madaraka bila kujali nyakati gani Anapata muhemko akiwa jukwaan mpaka anaanza kutenda tofouti je akiwa rais itakuaje
  6. I

    Magufuli kumuamuru RPC Dodoma ni haki?

    Lowasa kuke mwanza alimtuma wenje akafutile wala hakumuamuru mtu
  7. I

    Magufuli kumuamuru RPC Dodoma ni haki?

    Jana magufuli alipokuwa anahutubia dodoma alimuamuru Rpc dodoma apande jukwaaan na akisema hv mm c ndo nitakuwa rais bana RPC njoo hapa hapa na khagiza hakikiasha hiz msg za vitiaho alizopata aliyekuwa katib mwenez chadema dodoma unazishughulikia haya nenda kazifanyie kaz Hoja yangu magufuli...
  8. I

    NCCR Mageuzi hamna demokrasia wala utawala wa sheria

    Naona hujapata ripot kamaili nenda tena kasome upya hayo maamuz kayafikia vip acha undembendembwe hapa
  9. I

    Je kutumia lugha za kikabila kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi sahihi?

    Kwahiyo una maanisha na jk aliaanza ukabila ailopsema ss wasukuma zamu yenu??? Na anachooendelea magufuli ni ukabila fully anatumia watoto wakiongea kisukuma na yy pia anaongea kisukumu ili apate huruma ya kura na kuonwa ni mwenzao??????? Nashangaa tume hailisemi hili Na jana akiwa fodoma...
  10. I

    Mwigulu Nchemba akosa Watu mkutanoni

    Yaan roho yangu inasusuzika ss kwa huyu jamaa kukosa watu maaana anapandikiza chuki kwa watu icyo ya lazma halafu anajione yy ana akili
  11. I

    Yaliyojiri Dodoma: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dr. Magufuli

    Cjaelewa kwann magufuli amenuagiza RPC???
  12. I

    Maneno ya Nape: Ni kwanini Tume ya Uchaguzi wametuwekea mwizi/marehemu kugombea Urais

    Inatakiwa ck moja tugome km tunisia ccm watufanya wajinga ahtika akili ila wao ndo wana akili ina nikera saaana mtu kupandikiza chuki kwa watanzania
  13. I

    Wagombea Ubunge jimbo la Ukonga toka CUF na CHADEMA walumbana ndani ya Studio Star TV

    Mtikila twaambie bas kwann jk alimuita jembe lowas 2010??? Wakat anajaua ni fiasd na kampen akashinda! Ifike mahala mtikila na genge lako uelewe kuwa huna cha kuwaambia watz
  14. I

    Taswira,CCM Yarusha CHOPA,Mwigulu aongoza Jeshi ,Leo wameitikisa Nzega Mjini na VIJIJINI

    Wanachofanya ss ni maaigizo hv bulwmbo anaweza kupig pus ups au masaburi mmmh ccm bana wanatumia mtaji wa ulewa mdogo wa watanzania kunufaika
  15. I

    Nimeamini sasa, Rais Kikwete amechoka

    Hiv mbona marais wa nje hawaju kuaga huku kwetu ukiaanza na kenya, nigeria na ulaya
Back
Top Bottom