Recent content by igoda

  1. igoda

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Nakushukuru sana mkuu kwa ushaur wako
  2. igoda

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Pia swala la mmi kuwapeleka sokoni kumbuka mm ni mfayakazi nataka nimpe ndugu au niajli MTU ausimamie
  3. igoda

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Nataka nifugie Dodoma, 23km kutoka Dodoma mjini barabara kuu iendayo daresalam
  4. igoda

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Hapo ndo mtihani mkuu maana kipi chenye soko mayai na nyama!Mimi kama mayai ndo yanalipa nitfanya hivyo lkn kama nyama ndo wanalipa basi nitafanya hivyo pia ndo maana nimeomba mawazo lkn mm binafsi nataka wa nyama
  5. igoda

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Wakuu habari; Mimi ni mfanyakazi katika sekta Fulani.Nimekuja hapa kuomba ushauri na mapendekezo juu ya nitakachokiongelea hapa chini. Wakuu kipato changu kwa mwezi ni Tsh 439,000/ Nataka nianze kufuga kuku lakini sasa sielewi nianzie wapi.Eneo ninalo la kutosha tu kwa kufugia.Mimi nipo mkoa...
  6. igoda

    Naomba tupeane ushauri wa jumla kilimo vs ufugaji

    Eneo muhimu kuliko kitu kingine hapo
  7. igoda

    Makonda: Sintokwenda mbele ya Kamati ya Bunge kuhojiwa bila kuitwa kwa barua

    Yeye kawaita wenzake kwa barua??
  8. igoda

    Zitambue 'Code' mbali mbali za Watu wanao Cheat katika Mapenzi

    Wwe ni fara chalii!kijana mzima unafagilia kudet na mke wa MTU?u are in danger zone guy
  9. igoda

    Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Alikuwa anatoka Kagera anaenda kwenye kampeni nkome geita,njiani akasimama kusalimiana na wananchi ndipo akakamatwa na polisi na kupelekwa kituoni.
  10. igoda

    Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh.Edward lowassa ameachiriwa huru alipokuwa na polisi geita alipokuwa amekamatwa.Sasa anaelekea jijini Mwanza kwa ajili ya kikao cha kamati kuu ya chadema.
Back
Top Bottom