Recent content by ignatus peter

  1. ignatus peter

    Mbinu zipi wamezitumia Wakinga kuwa wafalme Kariakoo?

    Duuh...Mzee Una data za kutoshaa sio poa...ma tighter wengi wa Kariakoo unawafaaamu... Mr Uk Electronics kwa kukusaidia pia ni ya Mzee Profil Massawe...anaandagaa Sana Mr Uk Marathon...plus biashara zake nyingi na magorofa hapo Kariakoo Rising sure A.Kimbori..nk
  2. ignatus peter

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tafuta Mishe kubwa au Kazi uwe busy kidogo katika Ujenzi wa Taifa...[emoji123][emoji817]
  3. ignatus peter

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Original crocs bei Elfu 25,000 tuu[emoji625] Tupo Kariakoo Mtaa ; Makutano ya Kongo na Aggrei Jengo la Capetown Underground Frem/Duka namba 5
  4. ignatus peter

    FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

    Unbeaten inahesabika ni 50 or 49 naomba kuelemishwa katika hili.
  5. ignatus peter

    Hii ndio sababu magari yanayosafirisha sigara yana ulinzi mkali tofauti na magari yanayosafirisha pombe

    Hakuna Sigara inayozalishwa hapa Tanzania na kusafirishwa kwa kutumia ndege. Hata mzigo unaenda Juba Sudan[emoji928][emoji929][emoji777]
  6. ignatus peter

    Hii ndio sababu magari yanayosafirisha sigara yana ulinzi mkali tofauti na magari yanayosafirisha pombe

    Nani kakudanganya mkuu kua wana maisha mazuri??? Wanaishi maisha ya kawaida sana Says Ex employeee
  7. ignatus peter

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    TAFUTA za kufa na nazoo BETPAWA GAMES 90 ODDS 78,450
  8. ignatus peter

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    TAFUTA PESA NA KAZI AU MISHEE YA MAANA MKUU ILI KUPUNGUZA HAYA MAKASIRIKIO...WENGINE TUNA BET KWA VILE TUNAPENDA FOOTBALL..NA NI MA SENIOR MEMBERS HUMU WAY BACK... .... USITEGEMEE BETTING KAMA NDO KAZI... OVER[emoji625]
  9. ignatus peter

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sorry naomba kueleweshwaaa.... Mr...ninavyofaamu wewe ni Mzee wa matreni Mara nyingi nk..Jee Kuna Mtu kawin kupitia mkeka wako na wewe huo mkeka hukula?? Maana Kama ni MKEKAA huo huo ulioandaa wewe ...hata wewe piah umempigaa muhindii
  10. ignatus peter

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tunaomba Hii code mkuu tulipukee nayoo!
  11. ignatus peter

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tushawaambiaga achaneni na MA DIRECT WIN hamsikiiiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Endeleeni kumfaidisha mhindi tuuu
  12. ignatus peter

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni ikatiiiikiii FRESH... shukrani kwa waliofuataa Hii Codes...na mtoaji shukrani piah Sana Sana
  13. ignatus peter

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mmmh ..mbona huu mkekaa option ngumu Sana kutoboa mechi 16 zotee zitoee goli 3 Hapa tutaliwa Sana tukienda kwa Hii style...Nashauri options ziwe tofauti tofauti...idea sio kua na odds mlima but probability ya kuwini SIFURI... Hata ule wa Direct Win kula ndo miujiza ambayo ipo lakini Sio kiiivo!
Back
Top Bottom