Recent content by igihumbi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Barua yangu kwa wamama na wadada

    cha ajabu hao hao wanachangia kwa kiswahili si waendelee na malugha yao
  2. I

    JamiiForums Tanzania Barua yangu kwa wamama na wadada

    na sisi tusiojua kingereza muwe mnakumbuka kututafsilia jaman.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tuambie kipi Kinakuvutia mpaka unachanganyikiwa! kati ya hivi vitu sita+?

    hakuna hata kimoja sijui nipo dunia gani
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nipo Shinyanga natakiwa kwenda Moshi msibani, nina elfu 30, kama kuna mtu ana private car anaelekea hukio naomba msaada tafdhari

    sogea barabani mkuu piga mkono lori usogee hadi babati au shinyanga. mdogo mdogo bora ukute wamezika ila ufike msibani pole sana mkuu waeleze madereva ukweli utafika bure
  5. I

    JamiiForums Tanzania anae weza kuandaa hii ramani njoo fasta

    shukrani kasha patikana
  6. I

    JamiiForums Tanzania anae weza kuandaa hii ramani njoo fasta

    hii ramani nimeipenda ila inamaboresho kidogo nilihitaji mtaalam aiweke kwenye vipimo pamoja na 3d ikiwa bila BOQ. vitu vya kurekebisha ni hapo kwenye kuiondoa dinning ibaki vyumba vitatu kimoja master na choo cha jumuia na jiko iwe ya hidden roof njoo na bei tuongee
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ni Mwaka gani ulipitia nyakati ngumu zaidi katika maisha yako!

    NYAKATI NGUMU HUWA HAZIISHI BALI HUWA ZINATULIA KWA MUDA NYAKATI NGUMU HUISHA PALE UNAPO KUFA TU.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Msaada hivi vipele vimekuwa changamoto.

    shukrani sana mkuu
  9. I

    JamiiForums Tanzania Msaada hivi vipele vimekuwa changamoto.

    habari wapendwa nasumbuliwa na hivi vipele naomba msaada kwa anaejua dawa nimezunguka mahospitalini bila mafanikio.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji excel ya fuso

    sawa mkuu shukrani
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni kazi kwenye makaa ya mawe (Songea na Mbeya)

    Habarini wapendwa poleni na majukum naombeni msaada wa conection ya kazi kwenye makaa ya mawe songea au mbeya. Mimi ni operator wa excavator mzoefu, nimependekeza kwenye makaa ya mawe kwa sababu ni kazi ya kudumu tofauti na kwenye miradi ya barabara. Msada wenu tafadhali.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji excel ya fuso

    msaada nahitaji hii axle shaft ya hii fuso. kama unayo tuwasiliane kupitia 0623593536
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza kipato kipitia kazi za online, nakuomba nijifunze kutoka kwako

    0623593526 napatikana dar
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza kipato kipitia kazi za online, nakuomba nijifunze kutoka kwako

    asante sana ila naomba kama na wewe unatumia hiyo njia kuingiza kipato naomba nije nione uhalisia nijifinze kwa vitendo.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza kipato kipitia kazi za online, nakuomba nijifunze kutoka kwako

    karibuni hata wale wa farex karibuni tuokoane ndugu zangu.
Back
Top Bottom