Recent content by idudumo

  1. idudumo

    JamiiForums Tanzania Steven Masele atamkwe Shujaa wa Taifa! Ni kweli Balozi wa Uingereza ni Jasusi. To Hell with...!

    Lkn pascal njaa kunawasukuma wengine hawana misimamo kbsa wao ni kusifia tu
  2. idudumo

    JamiiForums Tanzania Nina 7ml natafuta gari!

    Nataka Gari mkuu
  3. idudumo

    JamiiForums Tanzania Nina 7ml natafuta gari!

    Wakuu nina offer ya 7ml natafuta Gari. Spacio/rush/Noah/rav4/xtrail moja wapo kati ya aina hizo
  4. idudumo

    JamiiForums Tanzania Gharama za ndege mpya za ATCL

    Umemjibu vyema kbsa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. idudumo

    JamiiForums Tanzania Gharama za ndege mpya za ATCL

    Lini wewe ulishawahi kuisemea vzr serikali? Watu kama nyie ni wa kupuuza maana kila kitu wewe ni kupinga tu kisa et mpinzani..upinzani wa aina yako ni wakijinga, Sent using Jamii Forums mobile app
  6. idudumo

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

    Ukweli mchungu ngoja waje uone povu lao
  7. idudumo

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje dume zima linalalamika mtandaoni kuchukuliwa mwanamke wake?

    Umemisi nini kwake?
  8. idudumo

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Hajaenda kwa uwoga wake tu, Mimi nashaanga anajisifu ukusanyaji wa kodi umeongezeka, watumishi hewa ameondoa amezuia madili yote lkn bado serikali haina hela. Kuna haja gani ya hayo aliyofanya wakati hatuon faida ya pesa aliyo iokoa? Akae akijua ana wakati mgumu sana maana wanamfurahia wanazidi...
  9. idudumo

    JamiiForums Tanzania Rais alikuwa sahihi kumtumbua Nape.

    Njaa inamtesa
  10. idudumo

    JamiiForums Tanzania Rais alikuwa sahihi kumtumbua Nape.

    Huyu mwanamke ni miongoni mwa wanawake wenye kuongozwa na njaa kama cocochanel
  11. idudumo

    JamiiForums Tanzania Dar: TPA yazuia Makontena 262 yenye Mchanga wa Madini MOFED Kurasini

    Asante Mungu kumrudishia huyu bibi akili zake. Ubarikiwe sana FaizaFoxy kwa kuwa mkweli
  12. idudumo

    JamiiForums Tanzania Nitamuunga mkono Magufuli 100% kama ataeleza tuhuma za RC wa Dar es salaam!

    Wewe hilo unalotumia lako? Umeleegea mpaka kwenye k yako
  13. idudumo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Kumbe ni dume !
Back
Top Bottom