Gharama za ndege mpya za ATCL

Gharama za ndege mpya za ATCL

Kwan bombardier moja imenunuliwa pesa ngapi? na kila baada ya muda gani zinafanyiwa matengenezo?ili tujue ni kwa muda gani tutafanya biashara turudishe pesa yetu ya kodi ndiyo tuanze mchakato wakupata faida?ila hiyo pesa ingewekezwa kwenye viwanda na kilimo tungefika mbali mno.
viwanda vinajengwa na ndege zinanunuliwa pia vyote vina faida sana kwa taifa
 
Kwan bombardier moja imenunuliwa pesa ngapi? na kila baada ya muda gani zinafanyiwa matengenezo?ili tujue ni kwa muda gani tutafanya biashara turudishe pesa yetu ya kodi ndiyo tuanze mchakato wakupata faida?ila hiyo pesa ingewekezwa kwenye viwanda na kilimo tungefika mbali mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
There are not cost benefit conscious
 
Asa watu kama Emirates wanaomiliki ndege 500?!
Kama ndege 6 gharama yake ni bilioni 800, ndege 500 je?
Daah aisee safari ni ndefu mno ila tutafika tu.
Itafikia zitakuwa zikitoka Service/Maintanance Wafanyakazi wa Umma wanalazimishwa kwenda kuzipokea kwa maandamano ya Amani ili kwwenda kumuunga mkono raisi kwa kuzipiga Rangi Boeing na Dreamliner...halafu huko kwenye matawi na mashina ya CCM wanaambiwa ni ndege zimefikia 50.
 
umeambiwa zile 4 tayri zieingiza tayr billion 48 kabla ya hizi mbili hazijaingia na kufanya kazi.gharama ya kuzinunua zote 6 ni Bilioni 817. sasa Fanya mahesabu Hapo utaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na inayotengenezwa na kukarabatiwa ipo katika karakana ya jeshi pale uwanjani ikiwa tayr itakuwa kwenye mzunguko na pamoja na hizo zilizopo ongeza na zile zitakazopakwa Rangi mbili zitaungana kupiga kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana at least hivi karibuni tutatua LHR direct.
Mtu chake na lazima tusifie

Sent from my SM using Tapatalk
 
kwa makadilio ya kiwango cha chini kabisa mpaka mh. ana ondoka madalakani tuna tegemea kuingiza si chini ya til. 2.5 za kitanzania kwa safari za ndani pekee...
 
Back
Top Bottom