Pj nani kakwambia mzunguko wa pesa ni mdogo hali Mafisadi wanaibuka kama mzunguko ungekuwa mdogo hilo lisingekuwepo tatizo ni ubinafsi wa wachache kujilimbikizia mali na kuacha wengine wakiteseka
Mimi nadhani elimu bure inawezekana kwani enzi za Mwalimu ilikuwaje? Na pia wanafunzi tulikuwa tunapewa madaftari kalamu na rula toka Elimu supplies. Kama wakati ule
Iliwezekana kwanini sasa hivi isiwezekane?
Unaweza kujiunga na VETA katika kozi yoyote uinayoipenda. Nenda chuo chochote cha VETA upate maelekezo zaidi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Watanzania uchaguzi umewadia ila nashindwa kuuliza kama tumejitayarisha kwani hata mwenyewe bado nina maswali. Uchaguzi huu naufananisha na ile nyimbo inayoitwa Tomorrow people ni kama muimbaji aliimba mahsusi kwa ajili ya Tanzania kwenye chorus anasema, nanukuu Tomorrow people, where is...
Mimi nashindwa kuelewa inakuwaje Mfungwa akatengwa na wafungwa wenzake?
Mwizi ni mwizi tuu hata kama kaiba shilingi moja na kama ni mwizi basi wezi wote wanatakiwa kuwa treated equally.
Sasa huku mitaani walikuwa mafisadi si wataendeleza ufisadi mpaka huko gerezani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.