Wadau kila mtu yuko na imani yake kuna mwingine anajiamini kwa anachokifikiria pasipokujua ugumu wa kukitoa kichwani na kukileta kwa hadhira tukione ila sio vibaya kujiamini hivyo tusiwe wakosoaji tu
Ongera kwa kuwa na huo ujuzi ila kinachowashinda ma director wa bongo ni kuwekeza mda na pesa sbb kazi ya vfx na cgi inakula mda na pia mfanyaji anahitaj mpunga uliochangamka hata hivyo tunajaribu tu ila kiukwel bado hata hatuja karibia
Ninavyo ila havijakamilika kufanya kitu kinachoeleweka bado maana nina camera, pc ambayo inauwezo kiasi chake na ninaijua vizuri Premiere pro hivyo ndio nilivyo navyo mm ndugu najua sio vingi ndio maan nikaandika hii post.
Nadhani kwa wale wenye idea na mambo ya movie making wanaelewa ila lengo la kuanzisha hii thread ni kukutanisha watu wenye mawazo tofauti ya idea moja.
Na sio mawazo tu hata nyenzo(vitendea kazi) naamini tupo vijana wengi ambao tuna idea ila jinsi ya kuzifikisha kuna vitu vinatukwamisha kama...
Habari wana JF na wapenzi wa movies
Tasnia yetu imekuwa na matatizo mengi kwa upande wa utengenezaji filamu lakini wengi wetu hatujajua tatizo ni nini.
Lakini tatizo kubwa ni mapato yanayoingia kupitia filamu hizo ikifuatiwa na wawekezaji. Kwa Tanzania sijaona hiyo kitu kampuni au mtu binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.