Recent content by idorome

  1. I

    ipi bora kati ya kupitia technical college au kwenda advance?

    Umesema hapo juu huonagi umuhimu wa mtu kusoma PCM advance sasa vyuo vyenye kozi za Engineering, Electronics, masomo kama ya science watapataje wanafunzi na je taifa litatoa wapi hao wataalamu wa hizo nyanja, taita linahitaji kila mtaalamu kwahiyo lazima kuna wanaotakiwa wasome PCM pia kama...
  2. I

    ipi bora kati ya kupitia technical college au kwenda advance?

    Acha dharau kijana hiyo combination ni nzuri sana sema tu labda hesabu imekuletea noma ndio maana unaiogopa, comnibation ni nzuri ial inahitaji self discipline otherwise wanakula kichwa
  3. I

    Mbao za slab

    nataka kuzitumia Dar es salaam, osie uuko lushoto sehemu ani, kisambaa tunakiju kama kawaida punguza bei
  4. I

    Tangazo kwa mara ya pili

    mtu huchelewi kupata jinsia sawa na wewe asante kunikumbusha , wewe ni me au ke
  5. I

    Tangazo kwa mara ya pili

    hiyo noma sasa awe wa kike
  6. I

    Tangazo kwa mara ya pili

    mkuu hivyo havina shida issue ni sitaki long distance ilishanitesa sana, umri sio issue sana kwani tunaelekea mbele sio nyuma, elimu sio issue iwe kawaida tu hata diploma kwenda juu kwani kwenye ndoa hatufanyi mitihani upendo ndio issue kubwa na hata mtu hajasoma anaweza kumpenda na kumjali mtu
  7. I

    Tangazo kwa mara ya pili

    Natafuta mwenzangu wa kuwa nae ila awe hapa UK niko mpweke sana na napenda rangi kama mimi sio mzungu. Alieko karibu anitumie kijiujumbe tuweze kuwasiliana na kusogeza maisha mbele. Elimu yangu ni PhD na kazi zangu nyingi ni za utafiti hasa wa dawa za magonjwa ya kifua.
  8. I

    The best Antivirus

    Nasumbuliwa sana na virus hususani unapofungua any web zinapop up other windows na matangazo kibao mara vigames vya ajabu ajabu,nililipia Avast lakini naona hamna kitu kabisa haizuii chochote, naomba kujuzwa kwa anaejua ni Antivirus ipi nzuri hasa kwa mtumiaji wa internet kwenye computer yake...
  9. I

    Natafuta soko la mihogo

    unaweza nipa idea wananunuaje na je taratibu gani za kufwata kupeleka mzigo, na je ni kwa njia gani ya usafiri
  10. I

    Natafuta soko la mihogo

    Wanajamvi habari ya mihangaiko ya maisha, Nilikua nauliza wapi nitapata soko la mihogo? Mimi niko Mkuranga ila naogopa walanguzi, ninazo heka 2 mihogo safi kabisa hata hapa ndio napata wa mchana na maziwa ya mgando.
  11. I

    Umevaaje

    kwani sasahivi umevaaje dada
  12. I

    Kwa ninavyokujua wewe,,,,,!!!

    wee jamaa umenikumbusha mbali sana hiyo kujikwaa kwenye kitanda huwa inaumaga balaa unaweza kosa raha kama siku 2 hivi damu haitoki lakini daa
  13. I

    Je Uta report?

    umekaa mwezi mzima bila kujamba, je utaenda hospitali?
  14. I

    Girlfriend

    sio unampa tu moyo inatakiwa ujisalimishe kwake
  15. I

    Mchumba Awe Mwafrica, Awe anaishi UK

    Natafuta mchumba awe mwafrica mwenzangu na awe anaishi UK ili tuweze kuonana maana sitaweza long distance, alieko tayari tuwasiliane tuone tutafika wapi, mimi ni maji ya kunde, mrefu wa wastani, mwenye kipato cha wastani kutunza mke na maendeleo kidogo. Elimu sichagui ila asizidi 30 years maana...
Back
Top Bottom