Recent content by IDontgiveafuCK

  1. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania Mh. Pombe Ahadi zako vip??

    Me ni mmoja wa watu ambao huwa sipigii kura mgombea wa CCM, kwa kuamini Chama cha Mapinduzi sio cha kuaminika, na hakina lengo la dhat la kumkwamua mtanzania wa hali ya chini... 2015 kwa bahat tu ukatokea J. Pombe Magufuli, binafsi sikukupigia kura sababu sikuwa na iman na wewe, nilipoanza tu...
  2. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    mkuu Veron kuna mtu tena anahitaji sony z3 au M4, nipe bei ya mwisho kabisa tufanye biashara.
  3. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania Smartphones, Ipads, Smartwatches, Tablets & Laptops, Projectors

    Mkuu nashukuru saana mzigo wa simu ulonitumia nimeupata. Nakushauri uendelee kuwa mwaminifu hivyo hivyo maana ndio mtaji. asante
  4. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania Mr. President, Ulisema tukuombee lakini Hustahili...(1kor 15:26)

    We watu wanajengewa sijui nini af wanaambiwa wasipange foleni...si ndio kuzbwa mdomo huko ndugu!!
  5. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania Mr. President, Ulisema tukuombee lakini Hustahili...(1kor 15:26)

    We sio bure utakuwa unakula na kuishi kupitia posho za ccm au unakula makombo ya huyo unaemtetea
  6. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania Mr. President, Ulisema tukuombee lakini Hustahili...(1kor 15:26)

    We watu wanajengewa sijui nini af wanaambiwa wasipange foleni ktk sehemu za huduma za kijamii...si ndio kizba mdomo hicho ndugu!!
  7. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    mbona cjakia. In kamamda flani voice ' katika mapambano makali polisi wetu e Amefanikiwa kuyauwa majambazi kumi na nne na naomba nitowe tu onyo kwa wale wanao....."
  8. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Si watoa taarifa wlishapanga
  9. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Sina uhakika na hizi habari wala sitaki kuamini kirahisi ila kama ni kweli waliokamatwa ktk mapambano ya huko vikindu wengi wao ni wanawake na watoto wadogo, huku mtuhumiwa mkuu akisemekana kutokomea gizani na kuacha kamanda mmoja wa polisi wetu chini wakati inasemekana karibu jeshi zma la...
  10. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Je km kulikuwa na mdunguaji??? Au ndio vile bahati mbaya imeeenda ikagonga mahara pyaa ikayepa ikarudi...tuuu kwake!!!!
  11. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Za zamani hizoooo...usikute ajali
  12. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Hayo matoto na manamke majambazi hayafai kwakweli!!! Ila si yamekamatwa...Askari wetu shupavu hongereni saana
  13. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Ukiona hivyo basi jua Hamna kitu
  14. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Sio kwa hapa tz ndugu yang
  15. IDontgiveafuCK

    JamiiForums Tanzania Atiwa mbaroni kwa kushangilia mauaji ya polisi Mbande

    .....i hate polisi hasa wale watumiao mabavu nakujiona wao ndio kila kitu...msema kweli mpenzi wa mungu!
Back
Top Bottom