Recent content by IDIOS

  1. I

    Dr. Kitila Mkumbo asimamishwa Uongozi DUCE kwa kushiriki siasa akiwa Mtumishi wa Umma!

    Kuna taarifa kuwa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam kimemuvua madaraka Dr.Kitila Mkumbo wa kuongoza Kitivo cha Elimu katika chuo kikuu kishiriki cha DUCE Hatua hiyo inatarajiwa kuchukuliwa eti baada ya utawala kupata habari kupitia kwenye magazeti kuwa alikuwa kiongozi wa chama cha siasa kitu...
  2. I

    Wakazi wa Kigoma wakosoa zoezi la kuwarudisha wakimbizi

    Katika taarifa ya habari Star Tv, wakazi wa Kigona wakishirikiana na wabunge wa mkoa huo wamelaani vikali jinsi zoezi la kuwarudisha wakimbizi linavyoendeshwa. Wamesema kuwa zoezi hilo linakiuka taratibu zote za kuwaondoa wahamiaji haramu. Wamesema kuwa zoezi hilo limekuwa likiwagusa hadi...
  3. I

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Congratulations makamanda. Mwaaaaaa!!!!
  4. I

    VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

    Hakika Mungu atalipa. Damu za watu hao ziwalilie daima masikioni mwao wale wote waliohusika kwa namna moja ama nyingne.
  5. I

    Siku ya makamanda Kisutu

    Kesho ni siku muhimu sana kwa mashabiki, wapenzi na wanachama wa chama cha maendeleo (CHADEMA) kwani siku ambayo Wilfred Lwakatale anaweza kutoka kwa dhamana baada ya kufutiwa mashitaka ya ugaidi yalitokuwa yakimkabili Karibu sana kamanda tulikumc vilivyo.
  6. I

    Lissu, Wenje, Sugu, Msigwa, Kiwia kuunguruma Mwanza, Iringa na Mbeya (soma ratiba)

    Fantastic! Haya mambo ndo tunayoyataka katika nchi yetu na hawa watu ndo tunawahitaji si kama wale wengne wanaoleta projo katika mambo ya msingi. Sugu alishaimba wimba wake mmoja akisema "huwezi kuzuia mvua ikitaka kunyesha itanyesha tu". Ndo hvyo CCM hawataweza kuzuia mabadiliko katika...
  7. I

    Makosa ya kiufundi ya CCM yanayoipaisha CHADEMA kuelekea 2015

    napenda kuwapa taarifa hii vion gozi wetu wa CDM kuwa tupo pamoja hadi kieleweke. propaganda za ccm ni sawa na bure kwa ukwel upo wazi sana kwa ss
  8. I

    Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

    Habar nmejitokeza hapa kujaribu kupambanua hizi hoja za jamaa yangu Mtela Mwampamba. Kuna mambo huyu kijana mwenzangu ameyazungumza toka jana kwenye hoja yake ya USALITI. ameonesha mengi lakini me naomba nmurekebishe katika hoja yake ya kusalitiwa na kwa ndugu Ludovick. Mtela alieleza...
Back
Top Bottom