Recent content by idiomer

  1. idiomer

    Mkuu wa wilaya anawaambia watu wahame sehemu hatarishi?

    Swali wahamie wapi toa sehemu mbadala kuwahifadhi wana Rungwe. Watu 20 wameshapotea daah inauma sana nchi yani hii. Toa suluhisho kiongozi sasa watu hawana nyumba kusema tuu wahame haitoshi .
  2. idiomer

    Je ni sahihi walimu wa diploma kuendelea jufundisha sekondari?

    Ilihali walimu wa degree wapo wengine shule ya msingi???
  3. idiomer

    Mambo yanatafakarisha sana haya. Nawaza Nawaza Nawaza tena. CAF

    Wanafiki wa siasa eti wanasema Game is won on the stadium 🏟? Wakati kwenye siasa game is not won by voters but who count the voters votes 🤔 Hongereni sana Morocco Pia soma Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco
  4. idiomer

    Hivi ni kwanini mtu akifa ndio husifiwa sana?

    Kipindi akiwa hai watu hulalamika hafai, mbaya ila akifa sifa lukuki. Au ndio marehemu hasemwi vibaya. Je ni sahihi binadamu kuwa aliwatendea mema watu wote? Uhuru wa maoni wa kusema huyu mimi alikua mbaya kuliko wote upo?
  5. idiomer

    Konda na madereva wa tz bhana

    Wanasubiri abiria wawili washuke wanapakize mmoja wanaondoka?? Baada ya kukaa muda mrefu bila kuondoka kituoni ?? Elimu au nin?
  6. idiomer

    Benk zetu pendwa wakati wa kupunguza riba sasa

    Kama benk zetu mbili zinazofanya vizuri sokoni zimepata faida maradufu kwa mara ya kwanza na haijawahi tokea.. Je hawaoni sasa ili kuonesha ukubwa na kurudisha gawio kwa wananchi kutoka mikopo kwa riba ndogo hata 10% kwa wafanyakazi?? Faida yao means RIBA ni kubwa pia asilimia 17% ...
  7. idiomer

    Hivi wizara zinakuwaga na malengo? Je zinaweka malengo kulingana na dira mfano ya 2050?

    Inaumiza ndugu mambo ni vurugu kodi zetu . Naumia sanaaa.
  8. idiomer

    Hivi wizara zinakuwaga na malengo? Je zinaweka malengo kulingana na dira mfano ya 2050?

    Naona kuna baadhi ya mawaziri wakiingia kama wana mambo yao vile wakiondoka yameisha? Mfano waziri fulani alikuja na vazi la taifa , mwingine singeli mwingine contents creators, ........
  9. idiomer

    Nini kifanyike watoto bado wanakaa chini baadhi ya shule ???

    Je ni kweli limetushindaaa?
  10. idiomer

    Dereva akienda safari 150k kwa siku mwalimu 50k ...Dar life is not fair.....tutegemee elimu ipande kweli ???

    Malazi ni vitanda vya shule vya 1000 tuu havina ubora mkubwaa. Yaani mtumishi analala kitanda cha mwanafunziiii???? CHUKULIA PERDIEM NI 150000 SASA SIKU 10 MTU LETS SAY KALIPWA 800K INA MAANA KALIPWA 80 K SIKU. KWA HIYO MALAZI NA CHAKULA NI 70K KWA SIKU???
Back
Top Bottom