Recent content by idifu10

  1. idifu10

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Zanzibar, hawalimi, hawafugi lakini wanakula wanashiba

    Znz tunalima na kufuga pia, njoo Makunduchi uone[emoji1316]
  2. idifu10

    JamiiForums Tanzania Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

    Ukisikia komeo ndo hili[emoji16][emoji16][emoji16]
  3. idifu10

    JamiiForums Tanzania Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Asant Mh. Wazir Mungu akubariki ktk kaz zako[emoji1317]
  4. idifu10

    JamiiForums Tanzania Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Mh. Waziri karibu sana humu jf, niende moja kwa moja kwenye point yangu. Wizara ya kilimo imepambania sana maafisa kilimo walioko katani kuwezeshwa usafiri wa pkpk na tunaona kwa sasa mambo yanaenda, vp wizara yako inashindwaje kuwapambania maafisa maendeleo ya jamii wa ngaz ya kata japo...
  5. idifu10

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Huyo Msama ni kabila gani? Tuanzie hapo[emoji1316]
  6. idifu10

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

    Duu kweli ni janga, wengi wameishia kwenye ulevi, kamali na kuishi kwa mashemej zao[emoji24][emoji24][emoji24]
  7. idifu10

    JamiiForums Tanzania Dodoma ni kutamu jamani

    Dodoma ya sasa ni moto mkuu, siyo kama ya zamani
  8. idifu10

    JamiiForums Tanzania Dodoma ni kutamu jamani

    Dodoma fursa kubwa ninayo iona ni kama ukianzisha hardware ya kisasa utauza sana maana kila kona ujenzi unafanyika vifaa vya umeme pia vinauzika sana[emoji1317]
  9. idifu10

    JamiiForums Tanzania Dodoma ni kutamu jamani

    Makao makuu ya nchi ni DODOMA[emoji1241][emoji1316]
  10. idifu10

    JamiiForums Tanzania Dodoma ni kutamu jamani

    Upo sahihi mkuu yote uliyo sema ndo nimekutana nayo[emoji1][emoji1][emoji1]
  11. idifu10

    JamiiForums Tanzania Vigogo CWT wakomba Billion 7.2 ndani ya wiki moja

    Tobaaaaaaa[emoji24]
  12. idifu10

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

    Huo mtaa umejaza guest za bei poa sana na wauzaji na wanunuz wanapapenda coz jirani kuna kirima bar the best bar in singida
  13. idifu10

    JamiiForums Tanzania Nimepokea wito kwenda kutoa ushahidi mahakamani upande wa Jamhuri, vitu gani vya kuzingatia?

    Kuwa makini na maswali ya mawakili, kama wakikuletea maswali ya utata ambayo unaona kabisa huna uhakika wa jibu lako, jibu sikumbuki/sifahamu. Unanikumbusha kisutu niliitwa kama ww upande wajamhuri 2021 oct
Back
Top Bottom