Recent content by IDEGENDA

  1. IDEGENDA

    Hotuba ya Rais Samia yasubiriwa kwa hamu na Wakenya

    Samia mwenyewe akiona hizi sifa ulizompa atakudharau sana
  2. IDEGENDA

    EWURA: Nchi ina hifadhi ya Mafuta inayojitosheleza, Petrol inatosha kwa siku 19 na Diesel siku 18

    Mkuu! Kuna watu ni wapumbavu sana nchi hii! Fikiria mtu anajisifu kabisa eti siku 19 kweli? Ina maana ikitokea chochote mipaka ya nchi ikafungwa tunajifia kama nzi
  3. IDEGENDA

    DOKEZO Tahadhari: Unakula kuku au vibudu?

    Kuku wa kizungu (matahira) nakula kwenye sherehe tu. Nje na hapo labda nishuliwe binduki
  4. IDEGENDA

    Watetezi wa Rais Samia wamekosa hoja, inaonesha wamezidiwa

    Sasa Mwijaku anaweza kuwa na hoja ya maana?
  5. IDEGENDA

    Ruto alishafunga kazi ya kuunda Serikali, Samia bado anaunda Serikali mwaka wa 3 sasa

    Ila bwashee wakati mwingine huwa unaamka na ugimbi kumtwe
  6. IDEGENDA

    Ratiba inaendelea: Waraka wa TEC unasomwa leo kwa mara ya tatu

    Safi sana.. Hadi mama Abdul ateme bungo
  7. IDEGENDA

    Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

    Ilikuwa bahati mbaya tu mkuu
  8. IDEGENDA

    Profesa Lipumba utawajibika kwa kifo cha CUF

    Ndio shida ya kumtegemea mtu mmoja kama nguzo ya chama! Kilichowapata cuf baada ya Lipumba na Maalim seif, ndio kitakachokuja kuwapata machadema baada ya Mbowe
  9. IDEGENDA

    Je, ni kweli Mtumishi wa KKKT Kijitonyama kadokoa sadaka madhabahuni?

    Angalia vizuri tena! Katoa karatasi ya maombi na hela, vyote vilikuwa kwenye bahasha moja ameondoka na hela ila karatasi ameiacha
  10. IDEGENDA

    Je, ni kweli Mtumishi wa KKKT Kijitonyama kadokoa sadaka madhabahuni?

    Kumbe nawe ni taahira? Hujaona kwamba ametoa karatasi ya maombi ila akaondoka na hela iliyokuwa imewekwa pamoja na karatasi ya maombi?
  11. IDEGENDA

    Je, ni kweli Mtumishi wa KKKT Kijitonyama kadokoa sadaka madhabahuni?

    Kwanini sasa hilo zoezi la kuhakiki bahasha zenye hela limefanyika kwa hiyo hahasha moja tu?
  12. IDEGENDA

    Je, ni kweli Mtumishi wa KKKT Kijitonyama kadokoa sadaka madhabahuni?

    Ni box la maombi ndiyo! Ila kuna bahasha ilikuwa na karatasi iliyoandikwa maombi na hela vyote vilikuwa kwenye bahasha moja! Alichofanya huyo mama ni kufungua ile bahasha kisha akatoa karatasi ya maombi akaiacha kwenye box na ila ile hela ameondoka nayo!
Back
Top Bottom