Recent content by IdealBen

  1. I

    Wadada ambao mna sura nzuri, elimu nzuri, na hela kwani nini hamuolewi

    Nikweli kwamba wanawake wenye elimu na figure nzuri(warembo) hawaoleki,pia naweza kusema wanawake hao ni tatizo kubwa sana,mara nyingi wanaringa sana na dharau kibao pale unapowatongoza au kuwakosea kidogo tu,,,pia pesa na elimu zao zinawapa kiburi na kuwafanya waamini nothin impossible under...
  2. I

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    upo sawa mkuu ushauri wako ni mzuri, lakin pia nafas za kazi zipo ila ushandan ni mkubwa sana,sasa hv ukiwa competent huwez kukosa ajira either serkalin au sekta binafs,kila mwaka wanafunzi wa elimu ya juu wanagraduate at the same time waajiriwa pia wanastaafu na wengne wanaloose jobs hahahaha...
  3. I

    Arumeru Mashariki 2015 CHADEMA waja na mtazamo mpya

    Kumekuwa na tetesi nyingi sana kwamba MP wa Arumeru mashariki,Mh.Nassary hakubaliki tena na wananchi wajimbo lake kutokana na kutotekeleza ahadi nyng alizowahaid wanarumeru,,wanadai pia kina mbowe hawamkubali Nassary maana anasema kwamba Mbunge wa Kigoma kask.akutendewa haki na Uongozi wa...
  4. I

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    wanaopinga muungano wakasome vizur kwn hawajui,hii acronym(Tanzania) imetokana na combination btn TANGANYIKA and ZANZIBAR,,,kwahyo kwakutamka tu neno Tanzania tuna mantain muungano,,,cha muhimu muungano uboreshwe
  5. I

    Sherehe zenu Huko Huko Dodoma

    sherehe za maccm huko dodoma siyo kitu kwetu kwan wanadhan wameshamaliza kazi kumbe bado,,,mtaan wanasubiriwa sana si kwa fujo wala vicheko bali ni kwa referendum
  6. I

    Detox: Namna ya kusafisha miili yetu ndani kwa usalama na kupunguza mafuta mwilini

    Hatukatai kwamba hzo tiba hazifany kazi ipasavyo,ila nyie mnaotoa hzo tiba lazima mzingatie matatizo ya mteja wenu,wakat mwingine mtueleze na side effects zake kwani unaweza kukuta watu wengne wanatumia ovyo nakupata matatzo mengne makubwa na wengne kupoza maisha,,,hvyo mm ningependa sana...
  7. I

    Kwani ukimaliza chuo ni lazima uote Kitambi

    Mimi namuanga mkono mtoa mada,japo uchunguzi wake hujakamilika kutokana nakutofanya uchunguz akinifu ili apatekujua sababu ni nn,lakin hata mm hilo suala nimeliona kwa vijana wengi baada ya kuhtmu vyuo wanaleta vtambi baada ya muda mfupi
Back
Top Bottom