IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
watanzania chenga sana hata kama katiba ingesema wanaume wote lazima waliwe viboga ingepitishwa tu na kwenye kura za maoni wangepiga kura za ndiyo nyingi iwezekanavyo
Nampongeza Sita kwa mafanikio chanya aliyoleta katika siasa za nchi hii. Ameweza kuwaonyesha watanzania kuwa adui wao yu miongoni mwao na asitafutwe nje. Naungana na mzee Warioba kuwa sasa tukutane mitaani ili kujua adui hasa wa watanzania miongoni mwetu ni nani ili kukata mzizi wa fitna.
Wananchi wana uelewa mkubwa sana kuliko unavyofikiria wala hawahitaji kufundishwa juu ya kuikataa Katiba ya mapepari ,wameshachoshwa na ahadi za miccm na hii nafasi wanaiona kama ni nyota ya jaha ,lazima wataichezesha kwata miccm kwa kura ya HAPANA ,yaani chance for a life time ,wanaisubiri hiyo kura ya maoni ya kuikataa katiba kama wanaosubiri kukabidhiwa bingo !