Recent content by Iddy Rubota

  1. I

    CBG Piteni hapa

    masuala ya Chanjo za wanyama na mimea lakin sio binadamu.
  2. I

    CBG Piteni hapa

    Hata unesi na ukunga CBG hasomi
  3. I

    Engineering courses

    Mechanical engineering specializations This is a VERY BROAD subject, which OVERLAPS with lots of other types of engineering. However, the most common specializations of mechanical engineering include manufacturing, transportation systems, combustion, nanotechnology and robotics. Mechatronics...
  4. I

    ujumbe kwa mwanamke

    Zingatia ukweli pasina kuwa na itikadi yoyote
  5. I

    ujumbe kwa wanaume

    KUNA HUU UJUMBE NIMEUPATA MAHALI, NAPENDA KUSHARE NANYI NDUGU ZANGU. NAOMBA NIONGEE KIDOGO NA WANAUME MLIOOA (Kopi kwa wanawake mlioolewa) Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi ndivyo ndoa nyingi zinazidi kuingia matatizoni. Tatizo sio wao kupambana bali tatizo liko hapa...
  6. I

    Ndoa za wasomi

    ushauri wangu ni kuwa unapoamua kuoa usijitazame wewe tu utaenjoy kias gani na huyo mke ila fikiria baada ya kuwa naye ktk ndoa kwa muda kadhaa na kupatikana mtoto, huyo mtoto atalelewa ktk misingi ipi ya maadili yaliyo bora. Kuna wazaz wengi wanajisikia vibaya sana pale anapomuona mtoto wake...
  7. I

    Sifa za mwanamke msomi na aliyekuzidi kipato katika mahusiano

    tatizo lipo kwenye malezi mwanamke huyo akizaa, maadili ya mtoto kuwa mabovu kutokana malezi haba ya mama
  8. I

    Mwanamke aliyevalia sketi fupi hadharani Saudia achunguzwa

    Ukimpenda mwanamke hakikisha unayaficha yale yaliyokuvutia wasije na wenzako wakampenda mkeo kama wewe ulivyompenda mkeo hutakula pekee yako. Mwanamme akijiachia wazi maungo yake wenzako watamfaidi kwa macho na kama haitoshi watataka wamfaidi na kitumbua pia mana muonekano wa nje ndo huwa...
  9. I

    Hivi mtu asipo fanya field anaweza kuomba kuirudia??

    udsm ni laziam urudie mwishon mwa mwaka wa masomo
  10. I

    Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

    haingii akilin kabisa et mechanical engineer ajue power system generation, production and controlling afu asijue power system analysis ila electrical engineer amekwiva vizur ktk hayo mambo wakat siyo zone yake huko. Nasikitika sana napomuona mtu anapozungumzia Mechanical Eng akili yake inamtuma...
  11. I

    Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

    100% hujui unachokizungumza, sure am telling u. Yan kama ni mpaka wa shamba, bas umelima shamba lako mpaka ukapitiliza shamba la jiran yako afu bado unadai ardhi ni yako kumbe hata mpaka wenyewe wa shamba lako huujui [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Wabongo bhana hawajui mambo afu ni hodari sana...
  12. I

    Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Jamaa anakudanganya, Electrical Engineer anajua kutumia tools tu lakin ikiharibika hajui atafanyaje. Electrical Engineer hata kufunga motor tu hawez. Wanaohusika na power and Enegry Production and Genration sio Electrical Engineers, unazingua wewee hao ni...
  13. I

    Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

    et production, generation... sijui unamaanisha nn, ila kama unazungumzia energy production au generation bas utakuwa huijui Electrical, ya umekurupukankutaja tu while u don't know nothing. Energy Production and Generation ni watu wa Mechanical mkuu, nenda kakae tena darasan ujifunze hiyo Electrical
  14. I

    Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

    very simple questions... naomba kuuliza, ni field zipi za engineering programmes mech haipo kabisaaaa? bila shaka jibu hakuna
  15. I

    Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

    mwambie bhana, some engineering programmes zipo variable ktk.ajira, inakuja hii inapotea, inakuja ile inakaa kidogo inapotea lakin mech ipo very very very wided in field Applications.
Back
Top Bottom