Na hichi ndicho kilichotokea,uelewa wa Wazazi ni mdogo na hata Kiswahili chenyewe hawakijui,hawajui hatua zipinzifanyike,na wamekuwa wakidanganywA kuhusu watoto wao.
1. Watoto walichukuliwa kwa idhini ya afisa ustawi wa jamii Ngorongo na kwenda kumwambi Ghulam kuwa hao watoto ni Yatima, Kumbuka nilivyoandika kuwa, WAZAZI WALIAMBIWA KUWA WATOTO WANAENDA KUTAFUTIWA UFADHILI WA MASOMO na siyo kwamba wanaenda kufanywa kuwa ni watoto Yatima.
2.Makubaliano...
Hii hoja inaonyesha kweli lishe inaweza kuathiri hadi ubongo na kupunguza uwezo wa kufikiria.
Soma hiyo taarifa ili uelewe mkuu, siyo kila kitu hadi uwe umeenda shule ndo utaelewa,vingine hata kama hujasoma uwe unajitahidi kufanya ubongo uelewe na siyo kukurupuka
Shule ni muhimu sana.
elewa kilichoandikwa,wazazi hawakumpa mfadhili mtoto awalelelee kwa miaka kumi, wazazi waliambiwa kuwa mtoto anakwenda kutafutiwa ufadhili wa masomo, walipofika kwa mfadhili aliempa mfadhili watoto akadai kuwa watoto hao ni yatima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.