Recent content by ID Fake

  1. ID Fake

    Hapa ni wapi?

    Mpitimbi ndanindani kabisa!
  2. ID Fake

    Tuongee kiume: Kwa nini uliamua kuoa?

    Nilioa kutii amri ya Mola wangu Mlezi.
  3. ID Fake

    Salman Rushdie ameshatolewa kwenye ventilator na sasa anapumua mwenyewe

    Ni kwamba huyo mwandishi alikuwa 'anatembea' na hukumu ya kifo. Ilitolewa fatwa ya kuuwawa popote atapopatikana. Hukumu ya kifo ilitolewa na ma-hayatollah huko Iran mara tu baada ya kutoa hicho kitabu. Alikuwa analindwa na serikali za Uingereza na Marekani.
  4. ID Fake

    Mwandishi Murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

    Umekuja mbio sana ku-coment [emoji23][emoji23] Ungesoma habari kwanza! Mzee kashambuliwa, kachomwa kisu!
  5. ID Fake

    Wazoefu Wa Magari; Kuna Usalama kweli hapa?

    Hii ndo wahuni wanaita makavu laivu! Asee!! [emoji23][emoji23]
  6. ID Fake

    Wazoefu Wa Magari; Kuna Usalama kweli hapa?

    Mi nimemwambia hiyo kitu chombo ya fundi, mwenyewe ataamua!
  7. ID Fake

    Wazoefu Wa Magari; Kuna Usalama kweli hapa?

    Mi nimetumiwa picha tu nitoe maoni kama gari inafaa. Ila sasa hizo taa nyekundu naona kama mapichapicha!
  8. ID Fake

    Wazoefu Wa Magari; Kuna Usalama kweli hapa?

    Nawasalimia kwa jina la JMT. Ndugu yangu anatafuta gari ya kununua mkononi, lakini iwe gari iliyonyooka. Kaoneshwa gari na madalali, inaonekana kaipenda, lakini kuna vitu kama ana mashaka navyo! Kanishirikisha picha za gari, kimuonekano wa nje na ndani gari imetunzwa vizuri. Ila hii picha ya...
Back
Top Bottom