Tuongee kiume: Kwa nini uliamua kuoa?

Tuongee kiume: Kwa nini uliamua kuoa?

Nilioa kwa sababu nilimkuta mwali Bado bikra nikasema yes she is mine

Ila

Nilimuacha kwa sababu ya mdomomdomo wake,kukosa pesa,dharau zake na kupigwa virungu Mara kwa Mara upande wa wakwe.
 
1. Kuna heshima niliikosa mbele ya jamii now nikiwa sehemu naheshimika kama mwanaume sababu nina familia inayonitegemea so mtu akimuona wife na akiambiwa ni mke wa fulani respect inakuwepo.

2,kupata familia hasa watoto ambao sasa nnao na wapo kwenye malezi ya baba na mama

3,kuna kazi kama 2 ambazo kama maritual status yangu ingesoma zero basi nisingefanya hata interview

4.Hata nikiumwa au kufa usiku wa manane basi ntafikishwa mochuari au hospital kwa muda sahihi sababu yupo wa ubavu wangu

5.Nikifulia kiuchumi au nikipata misuko suko rafiki yangu wa pekee ni mke wangu kwani sina mshkaji ambae anaweza kunipa 10m nikatibiwe moyo india ila mke wangu anaweza uza hata nyumba yao na ndugu zake wakiwa ndani nikapelekwa india usku wa manane.

note:
SIKU UTAKAYO OA TU HAKUNA MWANAMKE UTAYEMTONGOZA AKAKUKATALIA NA WAZURI ZAIDI YA MKEO NDO WATAZIDI KUKUSHOBOKEA

SABABU?
SHETANI YUPO KAZINI
 
Liverpool vp do you copy?
 
Mimi nilioa kwa sababu uwezo wa kumlisha na kumvalisha ninao sikutaka kuwa mpiganaji kwa sababu sitaki mambo ya zinaa japokuwa yana ushawishi mkubwa sana hasa kwa sisi vijana below 40years.

Ila baada ya kuoa nimepata faida ambazo hazikua lengo langu la kuoa.kuna michongo kadhaa nimeipata kupitia ukweni ambayo sidhani kama bila kuoa ningeipwtw michongo hiyo.

So kuna mwmbo unayapata kwenye ndoa lwkini hukutarajia kama utayapqta ni vile ndoa ina faida nyingi sana.
 
1. Kuna heshima niliikosa mbele ya jamii now nikiwa sehemu naheshimika kama mwanaume sababu nina familia inayonitegemea so mtu akimuona wife na akiambiwa ni mke wa fulani respect inakuwepo.

2,kupata familia hasa watoto ambao sasa nnao na wapo kwenye malezi ya baba na mama

3,kuna kazi kama 2 ambazo kama maritual status yangu ingesoma zero basi nisingefanya hata interview

4.Hata nikiumwa au kufa usiku wa manane basi ntafikishwa mochuari au hospital kwa muda sahihi sababu yupo wa ubavu wangu

5.Nikifulia kiuchumi au nikipata misuko suko rafiki yangu wa pekee ni mke wangu kwani sina mshkaji ambae anaweza kunipa 10m nikatibiwe moyo india ila mke wangu anaweza uza hata nyumba yao na ndugu zake wakiwa ndani nikapelekwa india usku wa manane.

note:
SIKU UTAKAYO OA TU HAKUNA MWANAMKE UTAYEMTONGOZA AKAKUKATALIA NA WAZURI ZAIDI YA MKEO NDO WATAZIDI KUKUSHOBOKEA

SABABU?
SHETANI YUPO KAZINI
Nzur Sana
 
Back
Top Bottom