Yaani TANESCO kila siku mnakata umeme, tena mnarudisha jioni pasipo kutangaza, hasa kwa Wilaya ya Ubungo! Hamuoni mnakosesha Shirika mapato (mnahujumu jamii)?
Hapa nagundua mambo fulani:
1. Wahandisi wa TANESCO hawapo vizuri sana kiutendaji
2. TANESCO mnajiona mungu watu, mnakata umeme...
Sasa lengo lako ni nini??, kama umeshindwa kuweka procedure hapa watu waprove ni bora ungekaa kimya tu mkuu.
Au unataka watu waku bembeleze + PM ili uwaelekeze...?...bora usinge fungua uzi alafu inashindwa kuelekeza watu
Kwani kama ni tatizo umeshindwa kuwasiliana na hao branch & Tala... kwani...
Yaani hiyo system ambayo umetengeneza kwa kupitia PHP, HTML, & CSS.... unaichukua unaiweka kwenye computer moja ambayo inaitwa server ( hosting).
Either inaweza kuwa locally(within LAN) au Global (WAN)
Ili uweze kuitumia hiyo system inakulazim uwe cinnected na net au LAN respectivelly...
Hizi huistall kama microsoft word au vlc, unachukua file zake unazi host kwenye server, alafu computer nyingine zinaivuta hiyo system via browser kwa kuweka IP address ya server
Mfano
192.168.172.192/sysem
Kwa PHP, html & css haiwezekani bro.... labda tengeneza kwa Java au Phython ndio unaweza kutengeneza .exe file ambayo unaweza kuinstall kwenye computer....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.