TALA&BRANCH kwanini system zenu rahisi kuibiwa na kusababisha mpate hasara kubwa

great kali

Member
Mar 11, 2018
54
125
Habari, Inasikitisha kuona kampuni kubwa zinazojishughulisha na miamala ya kifedha zikiwa na system poor kiasi na rahisi kuibika ok by the way niachane na hilo.....
Nilikuwa na jaribio langu la ki teknolojia kwa hawa Tala na Branch lengo likiwa ni kubypass madeni yangu niliyokuwa nayo katika app hizi mbili yakiwa na jumla ya thamani ya tsh 400,000..,
Nashukuru mungu nilifanikisha kubypass madeni hayo na kuonekana yamelipwa kabisa wakati sijalipa hata shilingi mia na kuniongezea kiwango cha kukopa zaidi.
madhumuni ya kuweka uzi huu hapa sio kutaka watu niwafundishe kuiba hapana bali ni kuwataarifu kampuni husika kabla hazijapata hasara kubwa na hivyo basi sitathubutu kuwaonyesha mwanya wao upo wapi watafute wana it watafute mianya yao na waizibe.
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,320
2,000
JAMAA NIPE MAUJANJA AISEE :cool::cool: SIJAWAHI KUKOPA ILA WANAKULA SANA MB ZANGU KWA POP UP ADDS SO NIPE DILI ILI NIKOPE KULIPIZIA MB ZANGU WALIZOKWISHA KULA
 
ICT OFFICER

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
236
500
Habari, Inasikitisha kuona kampuni kubwa zinazojishughulisha na miamala ya kifedha zikiwa na system poor kiasi na rahisi kuibika ok by the way niachane na hilo.....
Nilikuwa na jaribio langu la ki teknolojia kwa hawa Tala na Branch lengo likiwa ni kubypass madeni yangu niliyokuwa nayo katika app hizi mbili yakiwa na jumla ya thamani ya tsh 400,000..,
Nashukuru mungu nilifanikisha kubypass madeni hayo na kuonekana yamelipwa kabisa wakati sijalipa hata shilingi mia na kuniongezea kiwango cha kukopa zaidi.
madhumuni ya kuweka uzi huu hapa sio kutaka watu niwafundishe kuiba hapana bali ni kuwataarifu kampuni husika kabla hazijapata hasara kubwa na hivyo basi sitathubutu kuwaonyesha mwanya wao upo wapi watafute wana it watafute mianya yao na waizibe.
Kiki hizi... au unatafuta kazi hapo?
 
ICT OFFICER

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
236
500
yote umemaliza wewe mara kiki mara kazi katika thread hiyo umeona nimeongelea suala la kazi sihitaji chochote
Sasa lengo lako ni nini??, kama umeshindwa kuweka procedure hapa watu waprove ni bora ungekaa kimya tu mkuu.

Au unataka watu waku bembeleze + PM ili uwaelekeze...?...bora usinge fungua uzi alafu inashindwa kuelekeza watu

Kwani kama ni tatizo umeshindwa kuwasiliana na hao branch & Tala... kwani mbona Email zao zipo hapo kwenye app

Humu JF mtu ukifungua nyuzi make sure unaelekeza wadau.... kama hutoweza kaa nalo moyoni tu kaka yangu.
 
Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,195
2,000
Mkuu unadaiwa nn na Tala?
Sasa lengo lako ni nini??, kama umeshindwa kuweka procedure hapa watu waprove ni bora ungekaa kimya tu mkuu.

Au unataka watu waku bembeleze + PM ili uwaelekeze...?...bora usinge fungua uzi alafu inashindwa kuelekeza watu

Kwani kama ni tatizo umeshindwa kuwasiliana na hao branch & Tala... kwani mbona Email zao zipo hapo kwenye app

Humu JF mtu ukifungua nyuzi make sure unaelekeza wadau.... kama hutoweza kaa nalo moyoni tu kaka yangu.
 
Pancras Suday

Verified Member
Jun 24, 2011
7,784
2,000
Kuna system kibao za kibongo zina loophole za kutosha, nilikuwa nazijaribu kwa kutumia app ya postman, yaani ni lojo lojo kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
einstein newton

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,965
2,000
Wale hawapati Hasara Wewe ndo unawapa faida
Huwezi kuwaibia kwasababu Hawakupi Chochote

Wachache sana wataelewa hili
 
Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,245
2,000
Habari, Inasikitisha kuona kampuni kubwa zinazojishughulisha na miamala ya kifedha zikiwa na system poor kiasi na rahisi kuibika ok by the way niachane na hilo.....
Nilikuwa na jaribio langu la ki teknolojia kwa hawa Tala na Branch lengo likiwa ni kubypass madeni yangu niliyokuwa nayo katika app hizi mbili yakiwa na jumla ya thamani ya tsh 400,000..,
Nashukuru mungu nilifanikisha kubypass madeni hayo na kuonekana yamelipwa kabisa wakati sijalipa hata shilingi mia na kuniongezea kiwango cha kukopa zaidi.
madhumuni ya kuweka uzi huu hapa sio kutaka watu niwafundishe kuiba hapana bali ni kuwataarifu kampuni husika kabla hazijapata hasara kubwa na hivyo basi sitathubutu kuwaonyesha mwanya wao upo wapi watafute wana it watafute mianya yao na waizibe.
Hivi mkuu, Zaidi ya Tala na Branch, kuna App gani nyingine inayokopesha pesa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom