Naunga mkono hoja. Pamoja na kero za trafiki barabarani lakini hawajawahi kumlazimisha mtu kutoa hongo. Tena huwa wanawashawishiwa sana wapokee hongo. Hivi uliyepiga hiyo picha unapata faida gani kwa askari hao kufukuzwa kazi?
Jeshi la Polisi tunaomba hao Askari wasamehewe
Kuna mgogoro mkubwa sana wa taasisi ya dini moja ambao umedumu miaka 12 ameweza kuutatua bila hata kujitangaza au kupiga picha na viongozi wa pande zote mbili kuashiria kumalizika kwa mgogoro kama ambavyo wengine wangefanya.
Daah kweli nimeamini kuna chuki binafsi na usiamini mambo ya mtandaoni. Utendaji kazi wa huyu DC hauhitaji kumulikwa kwa tochi au kupimwa na darubini. Itisha mkutano wa hadhara kila kata tupate public opinion juu ya huyu DC nina uhakika atapata zaidi ya 95%
Ni msikivu, mnyenyekevu, hana...
Nampongeza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule kwa utumishi wake uliotukuka. Tumpe mtu maua yake anapostahili sawa na tunavyowakosoa.
Sifa kuu za DC Mtambule ni hizi:
1. Msikivu sana, katika kupokea mashauri, kero na malalamiko ya wanachi na watendaji
2. Ni mfuatiliaji mzuri wa mambo...
Ushauri wako ni mzuri mno, natamani kila mzazi mwenye kijana wa umri ampatie hili. Ukipuuza hapa hii ni mojawapo ya chanzo cha migogoro mingi kwenye ndoa
Wananchi wa Tanzania tunakupongeza kwa mazuri ambayo unayatenda. Usikatishwe tamaa na kelele sisi tulioishi muda mrefu na kujua mwenendo wa nchi tunakuona unaenda vyema sana. Furaha, amani, mshikamano miongoni mwa watanzania ni wa hali ya juu.
Uhuru wa kuabudu, uhuru wa kutoa maoni, hata uhuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.