Mkuu America inaifaidi Africa kuliko Afrika inavyoifaidi America fikiri wanaleta vyandarua wanaondoka na tanzanite au dhahabu kutokana na upumbavu wa watawala wa kiafrika.
"TRUMP ASITISHA MISAADA YA NJE KWA SIKU TISINI,
WHO YAAHA KUTAFUTA NJIA YAKUJIKWAMUA KWA KITISHO CHA TRUMP
" Anaekulisha anakutawala anae kuvisha anataka umnyenyekee alisema Castro badae Sankara Kisha Traole Sasa ni wakati wawaafrika kuamka kwenye usingizi. Mzito uliojaa ndoto butu zakuitegemea...
Lakini bado kuna wachumi kama kina Prof.Lipumba kuna wanasheria kama Prof.Kabudi na kina Prof.Kitila wote awa ni kizigo kwa taifa au sisi wananchi ndio mizigo tunaoshindwa kuwawajibisha.
Mkuu hizo ni njia za kivita zilizokaa kimafumbo hauwezi kuelewa mpaka upate watu wakusaidie kutegua fumbo hili. Nchi hii mkienda kwa kusikilizana hamuwezi kufika mbali kwangu mimi naona njia hii ni salama kuliko kudanganyana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.