Recent content by Icent13

  1. Icent13

    JamiiForums Tanzania Zifahamu athari za kunywa maji kupita kiasi

    24 ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Icent13

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kilwa watakiwa kutozomea watalii na kuwaita Corona

    Hatua ngapi?
  3. Icent13

    JamiiForums Tanzania Liquid protector ni utapeli

    Shida ya watoto was mama kulakulala Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Icent13

    JamiiForums Tanzania Liquid protector ni utapeli

    Usihaji simu kama ya techno chamsingi inaingiza shingapi? Wengi tumeanzia huko kuwa na simu yagharama sio ujanja ujanja. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Icent13

    JamiiForums Tanzania Liquid protector ni utapeli

    Subiria utapatajibu ikidondoka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Icent13

    JamiiForums Tanzania Liquid protector ni utapeli

    Wadau yamenikuta wakati nipo kwenye harakati zangu nikakutana na jamaa wakisifia skilini protector sinikaingia mkenge wakatoa ile yakioo wakamwagia tumaji wakaweka kwenye mkebe unavitaa taa hivi wakasema tayari hapo hakivunjiki dah!! Nafika home imedondoka kioo kwishaaa kweli jamaa wamenitia...
  7. Icent13

    JamiiForums Tanzania Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

    Dah!!we jamaa noma Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Icent13

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Vijana 11 wakamatwa kwa utapeli wa 'ile pesa tuma kwenye namba hii'

    Hongera sana jeshi LA police Tanzania hiyo ni hatua nzuri mmeionesha
  9. Icent13

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu tatizo hili la kikohozi

    Habari mtaalamu, Mimi ninatatizo moja hivi yani nikipulizwa na upepo mkali kama feni au bodaboda au nikilala usiku baridi liwe Kali nakohoa sana ila nikizima feni au nikijifunika blanketi natulia au kukiwa na joto nakua poa tatizo nini? Msaada please Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Icent13

    JamiiForums Tanzania Elewa huu mtego kwanza ndio utajua biashara nzima ya Forex

    Habari wana jukwaa naomba msaada kueleweshwa kuhusu forex na ni namna gani ya kujitengenezea kipato kupitia fx asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Icent13

    JamiiForums Tanzania Gesi ya matumizi ya majumbani yapanda bei

    vipi kuhusu ile GE's yetu ya mtwara mbona kama nchi imekua nzito sana
  12. Icent13

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu wa kale alioka mikate kabla ya kuanza kilimo

    Kihusu miaka wamejuaje maana wote hatukuwepo
  13. Icent13

    JamiiForums Tanzania Marekani yamuwekea vikwazo mkuu wa jeshi la Myanmar kwa unyanyasaji wa jamii ya Warohingya

    Yaani Mimi nimesoma kwa kiswahili shule ya msingi secondari hadi chuo nimesoma kingereza ajabu leo Niko kazini nafundisha wakulima kwa kilugha na kiswahili wakati huo ripoti naandika kwa kuzungu kweli serikali iangalie namna itakavyo liweka saw a hili suala
Back
Top Bottom