DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,526
Ukichek vizur manual ya Ile mashine, Hamna mahali imeelekeza chochote.Swali.... nilimsikia jamaa akisema cm lazima iwe on wakati liquid protector inawekwa nini uhusiano wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa uzoefu TU,
Mionzi yoyote haipatani kabisa na vitu vyenye asili ya sumaku ndan yake.
Mfano: simu,tv,Redio n.k
Sumaku husababisha mvuragano wa mawimbi au shoti Kama itazd kipimo.
Inaweza pelekea kuua transfoma ya simu, maiki au hata spika.
Inayoweza kukugharimu sakiti nzima ya simu au Kadi nzima ya flex.
Ambapo km ndo simu zenye wadhfa wake, unaeza jikuta unakarabati simu kwa gharama ulonunulia ikiwa mpya
Sent using Jamii Forums mobile app