Recent content by ICE ON FIRE

  1. ICE ON FIRE

    Maono yangu tunapoelekea 2025

    Yetu macho na maskio, tuombe uzma huku tukisubiri ndoto na maono yako yakitimia
  2. ICE ON FIRE

    Double Standards: Waliokosea kuapa walikuwa wawili lakini mkosaji akawa mmoja

    Hapo kwenye Naibu Waziri wa fedha hapajakaa sawa Mkuu, ni Naibu Waziri wa Madini
  3. ICE ON FIRE

    Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    mimi nadhani nitakuwa wa mwisho kuamini kwmba ni kweli msomi wa Shahada ya Uzamili ambae amefanya tafiki na kuzitetea mbele ya wasomi wabobevu (ma-Profesa) Ashindwe kusoma kiapo tena kilichoandikwa kwa kiswahili Kwa font kubwa kabisa, HAPANA lazime tukubali kuna sababu nyingine nyuma ya haya...
  4. ICE ON FIRE

    GE2020 Linapokuja suala la kuiondoa CCM madarakani, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni kikwazo

    Upinzani Nchi hii naona bado sana, kama vyama zaid ya 10 (vya upinzani)vinapingana vyenyewe kuitaka Dola sisi wananchi tufanyeji, Upinzani utashika Dola pale tu utakapokua na sera mbadala na pia utakapokuwa na dhamira ya dhati yakuacha tamaa ya madaraka na kuamua kuungana dhidi ya Chama Tawala...
  5. ICE ON FIRE

    Dkt Mwigulu sio kabisa!

    ndio ila abadilishe tu ule mwaka.
  6. ICE ON FIRE

    Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

    acha sheria ifuate mkondo wake, tunaendelea kufatilia mwenendo wa kesi dhidi yake' alisikaka mlevi mmoja akiropoka tokea kilabuni'
  7. ICE ON FIRE

    Ushauri wa Kisaikolojia juu ya Hofu niliyonayo...

    nais inasababishwa hasa na kuwa dependant, bado hujajitegemea hivyo kupelekea maamuzi yako yote kubase on watanielewaje, ntaishia wap n so many more. its matter of time hofu itaisha.
  8. ICE ON FIRE

    COVID-19: Magufuli asifiwa duniani; Tanzania imeibuka mshindi kwa kuishinda US kwa kulinganishwa namna walivyoendesha mapambano yao dhidi ya Corona...

    Tuendelee kuchkua tahadhari, nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni mara kwa mara, vaa barakoa uwapo sehemu zenye mikusanyiko, tumia sanitizer na epuko mikusanyiko isiyo ya lazima. Corona inaepukika. n.b kwa hisan ya wataalam wa afya.
  9. ICE ON FIRE

    Rais Magufuli atoe mfano kwa WB kwa kusamehe madeni ya kodi kwa wafanyabiashara wa TZ

    Mkuu hili la watumishi kupunguziwa mishahara siliungi mkono, badala yake ungeshaur kada na status ya huyo mtumishi wakupunguziwa mshahara, mathalan mwalimu wakawaida kabisa mwenye makato Lukuki ukimpunguzia hata 5% ni sawa na umemfukuza kaz kabxa ,mana hata weza kusurvive. Mdau alieshauri...
  10. ICE ON FIRE

    Zanzibar yatangaza Wagonjwa wapya 15 wa COVID-19. Visa vyafikia 98 (Aprili 24, 2020)

    Tunawaombea wagonjwa wote, Mungu awaponye. amina
  11. ICE ON FIRE

    Habari mpya na njema katikati ya janga la Covid-19

    habar njema, tuombe Mungu ifanikiwe
  12. ICE ON FIRE

    Update Covid19: Usambaaji na idadi kulingana na mikoa na maeneo hapa Tz

    yule ni wa Dar mkuu hata UG wakimrudisha inabid apite juu kwa ju,
  13. ICE ON FIRE

    Tumshauri Mwigulu Nchemba namna ya kufikiri

    tumsamehe bure
Back
Top Bottom