Recent content by ICBM

  1. I

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini yashambulia mji wake yenyewe baada ya kombora kukosa shabaha

    Amani ya dunia inazidi kuwekwa rehani.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa wachunguzi huru

    Wenzetu hawako kama unavyofikiria, wanajali ukweli wa kazi yao na sio anayewalipa, na hii ndiyo sifa inayowatambulisha na kufanya kazi yao iheshimike na kukubalika dunia nzima.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tumejifunza nini kutoka kwa Mbowe katika mkutano wake?

    Viongozi wetu wanafanya kazi kubwa kuuaminisha umma pamoja na wasiojitambua, kuwa ukitoa hoja au maoni yako na yakakinzana na watawala wetu,wewe ni msaliti wa nchi. Tuliokwisha jitambua tumevuka mtego huo, japo nikiri wengi bado wamenaswa.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania: The Electronic And Postal Communications (Online Content) Regulations, 2017

    Ukishakuwa na Uongozi usiothamini demokrasia, haya siyo ya kushangaza. Tunaoelewa mambo haya, tunajua yapo makubwa zaidi njiani. Wazalendo wote jifungeni mikanda tuone kama tutavuka kipindi hiki cha mpito.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Serikali yagoma kuwepo kwa uchunguzi huru juu ya Tundu Lissu, wadai kwani kibiti walikuja wazungu?

    ''Tuko tayari kumtibisha Lissu popote duniani " Kwani Kenya sio duniani?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma na Madiwani Geita Wafikishwa Mahakamani, wasomewa mashtaka manne

    Ukombozi haupatikani kirahisirahisi. Ni kujitoa kwa ajili ya wengine.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Alichopitia na anachoendelea kupitia Lissu sio kitu rahisi kwa mtu yeyote kutafakari

    Uzalendo una gharama yake.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nikki Haley: ''Marekani ikiamua kujilinda, North Korea itaangamia''

    Vita ya aina yoyote kati ya mataifa haya mawili itakuwa ni mwanzo wa mwisho wa amani ya dunia hii.
Back
Top Bottom