minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Gari iliyokuwa ikimfuatilia Lisu ni mali ya Maliyamungu amekula njama wakafuta kila kitu.Km King of Lumumba hajahusika, kwanini zile Namba za gari alizozisema TL zimekua blocked kwenye system za TRA?!
Tuanzie hapo kwanza...
MWISHO: Tukumbuke tukio la Nape kulikua na baadhi ya gari ambazo zilipofatiliwa TRA zilionekana mmiliki ni Ikulu sina Shaka na kwa zile namba za gari zilizoblokiwa nazo zinatoka mahali pamoja.