Recent content by ibwe ijewa

  1. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anastahili tuzo ya Mo Ibrahim

    Umeandika kichekesho,tuzo za mo ibrahimu hazigawiwi kama kutoa biskuti
  2. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Mahiga afungua ubalozi wa Tanzania nchini Israel

    Sasa wazo ni kuhamia jerusalem kwa nini wamejenga tel aviv
  3. I

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Rais hashauriki au hafikishiwi ushauri; Bombadia moja "imekufa" Mwanza, ATCL inajigamba kuleta Dreamliner

    Dah,hata faida hatujapata chombo ya hela ndefu ishakufa
  4. I

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kusambaza dawa ya kuzuia Virusi Vya Ukimwi (HIV) aina ya Truvada

    Watu wataishi kwa raha sana
  5. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Chuo chochote kitakachojaribu kugoma sitasita kuwafukuza, tena kwa muda usiojulikana!

    Fedha za udsm zinahamishiwa sua,sjui waliopanga ziwe za udsm walikosea
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kama wanaosoma 'private schools' hawastahili mkopo basi na ajira wasipewe?

    Dah,kumbe ukipata pesa nchi hii ukapeleka mtoto private ni kama kosa vile,ni sera ya hovyo na ya kimskini kabisa
  7. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Hili jambo limenisikitisha sana,inabidi bunge walijadili hili,linakatisha watu tamaa kabisa
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli, Watanzania kila kona ya nchi wanakulilia wewe, imekuwaje?

    Mipango ya magufuli inaumiza lakini baadhi yake italeta faida
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunasambaza taarifa za ujio wa Lissu tukumbuke yaliyompata Masinde Muliro uwanja wa ndege

    Mashaka haya hata mimi ninayo,wakati wa kurejea inabidi uwepo umakini mkubwa
  10. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa lini?

    Kila jambo na wakati wake,muda ukifika atatoka
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Siijui dodoma hebu anayeijua iringa ailinganishe na dodoma
  12. I

    JamiiForums Tanzania Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    Kweli Tanzania tuko nyuma ona ndege hii kubwa inaenda kwenye nchi ndogo namna hii wakati Sisi wa kubwa hatuna kitu
Back
Top Bottom