Recent content by Ibrason

  1. Ibrason

    PreGE2025 Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea urais, maana yake agenda yake ya No reform no Elections imeyeyuka rasmi na kuwa null and void

    Hujamsikiliza vizuri. Ukirudia kusikiliza kwa umakini utaelewa kuwa amemaanisha nini
  2. Ibrason

    Wazo la biashara kwa laki tano(6)

    Naomba tuwasiliane 0784585481 Boss
  3. Ibrason

    Wazo la biashara kwa laki tano(6)

    Tuwasiliane kwa hiyo namba mkuu
  4. Ibrason

    Wazo la biashara kwa laki tano(6)

    Jamani ndugu zangu wana JF, ninalo wazo kabambe la Biashara. Mazingira yote ya biashara nimeshajiridhisha nayo. Na wazo langu haliko na mambo mengi, lakini kila kitu kipo kwa uhakika. Nipo Dar es salaam Natafuta mtu tunayeweza kuingia naye ubia katika biashara hii itakayogharimu Tsh 500,000...
  5. Ibrason

    Tuwatembelee Mapolisi wetu katika vituo vyao kuonesha Upendo

    Mtazamo ni kitu hatari sana... kuna siku niliwahi kujiuliza, kwamba kwanini askari ukikutana naye mahali na ukamsalimia, wengi wao hujibu kwa ukali au kama hajapendezwa na salamu yako hivi. Nikagundua kuwa kumbe kimachowatesa wao ni mtazamo ambao wamejiwekea kana kwamba mwananchi ni mkosaji...
  6. Ibrason

    Nahisi napitia "quarter life crisis", nakosa amani ya moyo

    Pole sana ndgu yangu. Kitu cha kwanza ni vizuri kuwa na mipango katika maisha lakini usijiwekee mipango mikubwa kuliko namna unaweza kufanya. Pili, ni vizuri kuweka mipango unayoweza kuitekeleza. Lakini kwasasa pambana na hii hali ya kukata tamaa, mimi ninaamini bado una nafasi ya kuinuka na...
  7. Ibrason

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Uongozi bora kwa maendeleo, ukipigwa katika uongozi umepigwa katika maendeleo. Fuatilia historia yetu, utaona kuna awamu fulani za uongozi zilileta mabadiliko makubwa sana katika maendeleo ya taifa hili tofauti na awamu zingine.
  8. Ibrason

    NACTE yabadilishwa jina, sasa kujulikana kama NACTVET

    Kubadilisha majina haina maana kuna mabadiliko ndani yake, wasipoangalia bado watabadilisha majina bila kuwepo na manufaa yoyote.
  9. Ibrason

    Una mapendekezo gani juu ya biashara ya maharage kwa sasa hapa Tanzania?

    Nina mtaji wa tani zaidi ya 15 za maharage kutoka mkoani Songwe (maharage ya njano) na ninahitaji kupata soko la uhakika hapa jijini Dar es salaam, kama unadetails za biashara hii ninaomba tushare tafadhari, asante.
Back
Top Bottom