Kila napoona biti ipo uchi naikonyeza,
mizuka ikpanda smetimes naibusu naichombeza,
sisubiri gesti hata chocho naibonyeza,
verse kali naulza ukivaaje unapendeza,
Ni vita ila kama hujui usiwake,
yanin rafki ambae hakujui kwnye chake,
uadui mbona mwake,
we hushangai msumari una nchi 6 ila hatumjui...