Wakali wa punchline nani mkali zaidi? (TUPIA MISTARI )

"Scars si rapa bora" hiyo ni kauli ya kipopoma, ni sawa na kuikana mask ukiwa china wakati kuna corona/

Waliosema sitishi washakula kona, saizi hawana ubishi washakubali mi ni noma/

Nawatibua kama tumbo la kuhara, nawafanya wakae jirani na choo kukwepa msala/

Mi kama ubongo hua sina mbadala, ukicheza hovyo ukanivuruga utayajua majalala/



It's Scars
 
Ma emcess wamelala mkushi bado napiga misele, nawapiga bao kwa rythms nafumba jicho kama kagere/

Nimechinja kuku chukueni miguu mkatiane vidole, kimenuka huku Scars anachana na hapewi kongole/

Demu alinikataa kisa sina ela ya kumposa, Saizi yuko rufaa anaugua baada ya kukanyagwa na mwamposa/

Ndugu washauza viwanja vya urithi hadi masofa, ili kumtibia mwanae ambaye alijiona mjanja wakati ni lofa/





It's Scars
 
The way sky iko clear j4 ni kama blue monday
Life linawafanya mabishoo mguu sawa mguu pande
Na ndoto za kupiga pesa kwa dini ya hayati Chande
After wake up ni pasi ndefu au breakfast ya makande
 
Ma emcess wamelala mkushi bado napiga misele, nawapiga bao kwa rythms nafumba jicho kama kagere/

Nimechinja kuku chukueni miguu mkatiane vidole, kimenuka huku Scars anachana na hapewi kongole/

Demu alinikataa kisa sina ela ya kumposa, Saizi yuko rufaa anaugua baada ya kukanyagwa na mwamposa/

Ndugu washauza viwanja vya urithi hadi masofa, ili kumtibia mwanae ambaye alijiona mjanja wakati ni lofa/





It's Scars
 
Punch zipo poa sana ila ningekuw BRIGHT
Ningethubut kukuambia neno SINA limetumika sana hapo
Sina wasi sina wenge, najua mpaka basi ila sina mbwembwe/

Kuhusu uoga sina hata chembe, naheshimika kwasababu sina mambo ya kisenge/

Sina kikosi wala genge, nachinja peke yangu nikiwa sina mshika pembe/

Binti usinitege, sina huruma ntakuchapa hata kama sina nyege/

Mwanaume wa shoka sina jembe, kichwani na madini ila sina chepe/

Itikadi kali ila sina uchebe, wanasema nawachana japokua sina wembe/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila napoona biti ipo uchi naikonyeza,
mizuka ikpanda smetimes naibusu naichombeza,
sisubiri gesti hata chocho naibonyeza,
verse kali naulza ukivaaje unapendeza,
Ni vita ila kama hujui usiwake,
yanin rafki ambae hakujui kwnye chake,
uadui mbona mwake,
we hushangai msumari una nchi 6 ila hatumjui RAIS Wake?
Verse yamoto
 
Ma mcess msinishike shati, Scars nishakua mbogo niacheni niue nyati/

Hamnitishi kama goliati, mimi ndo daudi nawachapa kwa jiwe moja la manati/

Mi ka jibwa la kisoviet hata ukinitisha kwa mtutu sifyati, nawakunja mnakunjika kama kikando cha chapati/

usihangaike kunitafuta chini niko juu na ndo maana haunipati, nawapiga kwa verse ukisalimika nenda home jione mwenye bahati/




It's Scars
 
Stephen ngalya chelu, hilo ndo jina langu/
Beberu la kigogo na dom ndo geto langu/
Vuta ganja, vuta kiti kisha sogea kwangu/
Upate madini adimu kutoka kwangu/
Natema hizi lines nikiwa na na vibe kama lote/
Lengo langu ujumbe huu ufikke kwa watu wote/
Kuanzia kwa vibopa hadi kina sisi kiokote/
Utaelewa ukiwa na ubongo kamili na si matope/
Kwanza, sifanyi mziki ili nipate fame/
Wala sifanyi mziki ili nipate mademu/
Kwangu ni mziki ni utume kama wa mwana Mariam/
I got faith japo sipigi goti mbele ya sanamu/
Je mimi ni matanzania ndiyo/
Ila sivutiwi na watanzania waimba mapambio/
Wanasifu na kuabudu mavitu ambayo sio/
Ndio maana nshaachaga kusikiliza maredio/
Bado wanaumiza vichwa kujua nawaza nini/
Wakati wananiwaza mimi, mi natema madini/
Madini yanayofanya wazidi kukaa chini/
Muda huo mi nimerelax navua mademu bikini/
Mambo yakiwa magumu nigga ita wazee/
Chinja mbuzi toa kafara uchumiulegee/
U’snitch nayo dhambi nenda kwa paroko akuombee/
Ila siku nyingine ukiona koki nigga usichezee/
Mbele za watu naongea smart ka shahidi wa jehova/
Siku’attack natema fact I be humble over n’ over/
Nikitoka hapo naingia geto n’ I make ya bi**h pee/
Nusu kondoo nusu chui don’t mess up wi’me/
Si deal na shida na deal na aletaye shida/
So ukiniona a shida we relax hakuna shida/
Tunatatua shida tunajipongeza midamida/
Oya B kubwa hebu wastue akina frida/
 
Back
Top Bottom