Recent content by ibrahim Traore

  1. ibrahim Traore

    Kizungumkuti barabarani! Ving'ora vitatu

    Kuna cha muhimu zaidi kabisa hujakiweka kile cha waaaah waaaaah.kiashilia cha shambulio la mabomu,kujuza watu waende kwenye mahandiki na Dhani ni bora kuliko vyote.
  2. ibrahim Traore

    Hivi madereva wa malori mna shida gani? Mbona hamridhiki na wake zenu na wanawake mnaowanunua huko barabarani?

    Ukiacha mlango wa dereva wa loli ule mwingine wameandika.Hatupakizi abiria
  3. ibrahim Traore

    Jinsi ya kupona ww3(vita vya nyukilia) vinavyokuja siju chache..

    Safari ya putin kukutana na trump Alaska.warussia walibeba kibonyezeo cha makombola ya nyukilia,kwamba endapo putin atakamatwa kwa mpango wa kumfungulia mashitaka,basi wao wange bonyeza ilingoma iwe bye bye
  4. ibrahim Traore

    Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

    Pale kenya ni mtego eneo la udalali wakupokelea malighafi kwa nchi za jirani.watu hutorosha madini bongo/congo nakupeleka kwa weupe pale kwenye ofisi zao.ndio mana wanapaenda huoni wameita ushirika wa mwanachama wa NATO na kuna base ya jeshi marekani.
  5. ibrahim Traore

    Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

    Alaska mmarekani alifika bei russia akapita na kibunda.trump anapenda marekani inunua kisiwa cha green land.so biashara inawezekana.ndio mana izrael wako lazi wakanunue eneo nchi yoyote ili kuwahamisha watu wa GAZA
  6. ibrahim Traore

    Kikwete aliposema Mzee Kisebengo anaweza kuzuia mvua isinyeshe ilikuwa kweli au masihara?

    Inawezekana nawe ukizeeka utalisaidia taifa kwenye mambo kama hayo.
  7. ibrahim Traore

    Mke wa Tony Kapola: Gesi iliisha akapulizia tuu puuuh, gesi ikajaa tukapika

    Nadhani kilajambo linawezekana ila watu wana ficha CODE.Kama nguvu ya chums ulete inavyoweza kuvuta na kuhamisha pesa kutoka kwenye akiba za watu.
  8. ibrahim Traore

    Hizi ndio fursa/kazi unazoweza kuzifanya katika maeneo ambayo yana migodi ya dhahabu

    H Hapo amelukaluka kama amekanyaga tope la rudio.huwez sema tipa m70,bila kujua kiasi cha bpm inasomaje na gharama za uendeshaji zilifika ngapi,m70 sibora apeleke mwenyewe plant.
  9. ibrahim Traore

    Tujifunze machache kuhusu umeme wa mwilini unavyoweza kukusaidia kuishi au kukuharibu mazima

    Kuna hii inatesa sana utakuta unagusa chuma inatokea spark na kamlio kabisa yani taaa na mwanga mweupe.nilibaini sku nililalia shuka za tetron site vs kitanda cha chuma.nilipata shida ule usiku aisee.
  10. ibrahim Traore

    Nimeuliza ChatGPT kati ya uslam na ukristo ikaleta majibu haya

    Kinacho fanywa na Chat GPT na program zingine kama hizo.sio kipya ila inakusanya taarifa za ufafanuzi zilizo wahi kuelezewa na kutunzwa katika server.wala hakitoki nje ya ulimwengu.Mf.ukihoji kitu yenyewe itachakata na kutafsiri ulicho kihoji kufuutana na taarifa zilizo hifathiwa awali.
  11. ibrahim Traore

    Natafuta dawa za kuongeza Uboho

    Uboho ama kwa jina la kitaalam, Bone Marrow, ni ute unaopatikana ndani ya mifupa mirefu katika mwili wa binadamu huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha chembechembe za damu ambazo zina kazi mbalimbali mwilini.
  12. ibrahim Traore

    Inakuwaje mungu wao apigwe misumari kwenye msalaba na watu uliowaumba?

    Unanikumbusha kisa cha haile selassie nae aliuwawa na walimwengu. Hii inahusiana na mambo ya kiroho,unapo amini nakutukuza,pia kuna nafsi zipo kizani.
  13. ibrahim Traore

    Huu Mtungi wa gesi uko sawa wakuu?

    Nunua jiko la solar,acha malalamishi.
Back
Top Bottom