naona una chuki binafsi na shemeji zangu,either n kwasababu wapo vizuri kiuchumi au hata kieimu
au vinginevyo pambna na hali yako mkuu,huwez kuondoa umaskini kwa kumchukia tajiri
mkuu n kweli mtupu,hiki kibibi kina chuki ya kidini na sii vinginevyo kinadiriki kumshambulia nyerere bila aibu
ukitaka kuamini,wakati wa kikwete kutwa nzma alikuwa anashinda jf kutetea ccm
MBNA sasa hivi wakati wa mh jpm haitetei tena? simply udini hiki kibibi n cha kupuuza
wewe bibi naona umezeeka vibaya,naona una chuki binafsi na nyerere na mtei
hii inachagizwa na udini wako
maana nakufahamu we n mdini kupindukia foolish bibi we
huna adabu kwa wazee wa taifaa hili
kwakiasi Fulani nakubaliana na mtoa mada
ktk mkoa wa Kilimanjaro, wilaya zinazoaibisha n same na mwanga
wilaya za uchagani zina maendeleo makubwa kuliko hizo za upare
ila wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro hakuna nyumba za nyasi,kote kuna umeme na lami,Kilimanjaro n mkoa wa 2 kwa watu wake kuwa...
Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini urusi kati ya 2002_2008,ameeleza ni kweli kuwa dr shika alisoma nchini humo na aliwahi kuvamiwa na majambazi
akizungumza na gazeti LA mwananchi,balozi huyo amesema Dr shika alikuwa na tabia ya majigambo kuwa ana hela nyingi ndio sababu ilishawishi majambazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.