Recent content by Ibrahim A.S

  1. Ibrahim A.S

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata hivi

    Habari wana JF, Naomba kuuliza wapi nitapata viti hivi hapa Dar. Natanguliza shukrani.
  2. Ibrahim A.S

    JamiiForums Tanzania Ombo la Msaada/Ushauri: Kanisa pembeni ya nyumba yangu limekuwa kero

    Huyu wangu nikupe nae udeal nae aisee kwa gharama yoyote mkuu wangu
  3. Ibrahim A.S

    JamiiForums Tanzania Ombo la Msaada/Ushauri: Kanisa pembeni ya nyumba yangu limekuwa kero

    Yani icho ndo kinachoendelea hapa ndugu yangu.. yani ni kero kiukweli
  4. Ibrahim A.S

    JamiiForums Tanzania Ombo la Msaada/Ushauri: Kanisa pembeni ya nyumba yangu limekuwa kero

    Shukrani sana mkuu.
  5. Ibrahim A.S

    JamiiForums Tanzania Ombo la Msaada/Ushauri: Kanisa pembeni ya nyumba yangu limekuwa kero

    Mimi kuondoka ni ngumu, pia yeye sidhani kama anashida ya kuongeza plot, maana plot yake ni kubwa ni kwamba tu kanisa analipanua kuja kwenye nyumba yangu wakati angeweza kuongeza kwa upande mwingine. Hakuna namna za kisheria za kimakazi zinawezesha sisi majirani kuweza kutatua hili?
  6. Ibrahim A.S

    JamiiForums Tanzania Ombo la Msaada/Ushauri: Kanisa pembeni ya nyumba yangu limekuwa kero

    Habari wanandugu, Mimi ni mkazi wa gongo la mboto (mongola ndege), maisha yalikuwa safii tu bila usumbufu wowote ila sasa kuna kiwanja cha jirani hapa wamefungua kanisa. Ni ibada sawa hakuna pingamizi kwenye hilo, ila sidhani kama alifuata taratibu zozote za kimakazi katika kuanzisha kanisa...
  7. Ibrahim A.S

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa ku-unlock modem ya Tigo model M022T

    Mkuu naomba iyo ya tempo aisee
Back
Top Bottom