Recent content by Ibrah Goye

  1. Ibrah Goye

    Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Hatukatai ni mfumo mzuri wa uuzaji ila sasa unanunua hicho kiwanja,je umefika hapo mahala kilipo kiwanja,unafahamu huduma za kijamii zilizopo,umbali kati ya eneo husika na barabara kuu unaufahamu,na malipo yake yakoje? Sisi wenye makampuni binafsi tunakuhakikishia uhakika na usalama wa pesa...
  2. Ibrah Goye

    Kampuni ya uuzaji wa viwanja Bagamoyo

    Tuna miaka miwili ya ufanyaji kazi hadi sasa
  3. Ibrah Goye

    Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...

    Ndo maana tunawaambia kabla ya kununua kiwanja tafuta kampuni na uthibitishe kuwa ipo kihalali ili uepukane na utapeli
  4. Ibrah Goye

    Kampuni ya uuzaji wa viwanja Bagamoyo

    Habari ndugu mtanzania mwenzangu. Tunakukaribisha sana katika uwekezaji kwenye idara ya ardhi. Sisi PMG AND ASSOCIATE COMPANY LIMITED tunajihusisha na shughuli mbalimbali kama :- 👉🏿Uuzaji wa viwanja na mashamba 👉🏿Upimaji wa ardhi 👉🏿Ubunifu na usimamizi wa majengo 👉🏿Urasimishaji Na kwa maeneo...
  5. Ibrah Goye

    Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...

    Ni kweli watu wanatapeliwa sana kwa sababu wachache wao wanataka ardhi kwa bei nafuu ilhali thamani ya ardhi iko juu zaidi kwa mfano huo wa mkoa wa pwani wiliya ya bagamoyo
  6. Ibrah Goye

    Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok

    China inatumia fursa ya kupigwa BAN ngoja uone kama atakaa kimya lazima ije na kitu kipya kwa ajili ya kubust mambo yao
  7. Ibrah Goye

    Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

    Tuache sisi tuamini kwa yule tunayemuomba uzima na afya ww endelea kuamini unavyoamini usilazimishe watu kitu kiovu.
  8. Ibrah Goye

    Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

    Kama ni BAGAMOYO ni chaguo sahihi kwenu,basi msisite kufika katika kampuni yetu ya PMG and ASSOCIATE Co.ltd kupata fursa ya viwanja vilivyopimwa na kupangwa kwa matumizi mbalimbali. Kwa maelezo zaidi piga simu 0674376678
  9. Ibrah Goye

    Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

    Wewe unayepelekwa kuangalia nyumba au chumba unatakiwa kulipia gharama za usafiri tu na hiyo pesa ya dalali inatakiwa itolewe na mwenye nyumba
  10. Ibrah Goye

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Muda wa kurudi saa tatu usiku na hakuna kuingiza wanawake ndani kwake ss kanikuta mwamba narudi saa tano usiku na nikirudi naenda mgongea dirishani kwake basi anakereka na hao wanawake ni kama nafundisha darasa vile leo huyu kesho yule
  11. Ibrah Goye

    Ardhi Special thread

    Kweli kabisa mfano ss kwenye kampuni yetu swala la hati tutakusaidia hadi hatua za mwisho
Back
Top Bottom