Recent content by ibrah computer

  1. ibrah computer

    Inachukuwa muda gani kupata mafao ya aliyefariki kutoka PSSSF?

    Nilimuuliza Afisa mmoja akasema tayari wameshaingiza kwenye database ya hapo Mkoani bado kwenda Makao , na je , unaweza ukawa na uelewa wa Calculation za mafao maana mama alifariki Mwaka Jana , na alianza kazi mwaka 84
  2. ibrah computer

    Inachukuwa muda gani kupata mafao ya aliyefariki kutoka PSSSF?

    Habarini wanaJF, Naomba kufahamu PSSSF, ukisha submit Taarifa za mhusika ambaye ni mteja wao ambaye ameshafariki inachukua muda gani kupata mafao yake. Ahsante
  3. ibrah computer

    CCTV cameras Installation

    Karibu !
  4. ibrah computer

    CCTV cameras Installation

    Yaani , ukilipia hiyo pesa nanunua vifaa na kukamilisha kazi
  5. ibrah computer

    CCTV cameras Installation

    760,000 ila hakunaga camera 3 ila huwa zinaanzia 4 , hiyo gharama nipamoja na huduma ya kwenye simu..
  6. ibrah computer

    CCTV cameras Installation

    Camera 3
  7. ibrah computer

    CCTV cameras Installation

    Ndio, niambie
  8. ibrah computer

    CCTV cameras Installation

    Inategemea na Idadi ya camera Mkuu
  9. ibrah computer

    CCTV cameras Installation

    Je , unahitaji kufungiwa cctv camera kwa bei nafuu na kukuwekea katika simu yako ya mkononi kukuwezesha popote pale uweze kuangalia matukio... na pia kukufundisha namna ya kutumia na kutunza matukio , karibu sana wasiliana nasi kupitia namba 0752 517175 0713 164090 Whatsapp 0787 338 261...
  10. ibrah computer

    Rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wa kike mdanyakazi na ambaye anajitambua mwenye kupenda maendeleo tafurahi sana anaweza kunitumia sms kwa 0713164090
  11. ibrah computer

    Taqwa bus operations

    Mwanza halifiki
  12. ibrah computer

    Vifungashio

    Habari za Jumapili hii , Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunifikisha tarehe kama ya leo, am so happy ila nazidi mwomba anifikishe 2015 pia. Leo napenda kuwafahamisha ya kwamba kama wewe ni mjasiriamali na uko Mwanza kwa ukaribu zaidi na hata kama uko mikoa mingine, leo ni fursa...
  13. ibrah computer

    Uliza chochote hapa kuhusu vingamuzi au dishi

    King'amuzi changu cha Azam kinaandika No Program nifanyeje?
Back
Top Bottom