Mi nafikir mwandosya kashindwa kusema c.c.m hakuna kiongozi wa kuwa rais. Rais mzuri na wakweli anatoka CHADEMA. ina maana hapo kadhihirisha kusema 2015 chadema lazima iingie ikulu.kafanya hivyo makusud ili ccm wamsimamishe makinda ili chadema ichukue nchi.
sio tu watangazaji wa sport extra pekee kunaviledio vichanga tu vinachipua kama uyoga wana ulimbuken wa lugha sana unakuta kipind cha kiswaili anatumia muda mwing kuongea kiingereza na kiingereza chenyewe hakimudu huwa wananikera sana na huwa na waita washamba wa tangazaji wa aina hii.wakiome...
hapa juz kaja balozi wa china IRINGA kwenye shughuli za chama na kasindikizwa na magari ya ccm na serikali yenye SU.je hilo sio kosa amakweli nyan haon kundule.toa kuti ktk jicho lako ndio utoe kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
hivi KALA JEREMAYA.aliwaza nn hadi aka ikana mistari katika wimbo wake? tunasema hip hop.harakati sasa kala...kaamua kuuza utu wake kwa dhaman ya fedha.masikin sio mda tunamsahau huyu mtu.SHAME ON YOU KALA.
mkutano umemalizika na watu wanawahi manyuman na ratiba keshi ni eneo la mrandege nilie walitea live habari hiz ni mim IBRAAH.....KWA HISAN YA CHADEMA.
MAJIBU;suala la nyumba za mafifi anasema ngoja alichunguze hawezi kutolea ufafanuz sahiz anaomba atafika eneo husika la mafifi aangalie ndio atatolea ufafaunuzi.
MAJIBU: swala kla michango ya elim anawaomba wadau wa elim ikiwa pamoja na wananchi na wakaz wa manispaa kuendelea kuchangia masuala la elim ili tuendele kuinua taaluma yetu.
MAJIBU:KUHUSU MASHINE TATU.anasema madiwan walitakiwa kuwapangia sumatra juu ya mipango yote ya mji lakin sumatra ndio walipangia madiwan namna ya matumizi ya eneo la mashine tatu.kubadili kuwa standi.
SWALA LAIN:ANASEMA KUNAFOM ZINAPITA KUPINGA SWALA LA KODI ZA LAIN.NA MNYIKA AMESHA ANZA NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.