Recent content by Ibra kadabra00

  1. Ibra kadabra00

    Yaliyojiri kutoka uwanja wa Mpilipili: Mkutano wa Dr. Magufuli jimbo la Lindi - Oktoba 12, 2015

    😁😂😂😂😂😂 huyo jamaa ananikosha xana makufuli bora angekuwa tu diwani
  2. Ibra kadabra00

    Vipi hali ya Jimbo lako, upepo unavumaje?tupeane updates!

    Hapa arumeru mashariki ni nassar na jembe lowasa mgombea wa ccm hata ajafungua kampeni na sijui hadi xaxa vp tena kashakata tamaa xana
  3. Ibra kadabra00

    Wafanyakazi wengi serikalini kumpigia kura JP Magufuli

    Wwe uwongo hatupendi staff yetu wote ukawa cc maticha wa shule
  4. Ibra kadabra00

    Maandamano tarehe 7 Sept, 2015 kuelekea ofisi kuu za CHADEMA

    Kama mnataka kupigwa tena rudieni kundamana Makamanda harudi nyuma✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌ 🏃🏃
  5. Ibra kadabra00

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Mwanza huko watu wamegoma kusepa wanamsubi jembe la ukawa nje ya hotel gold crest
  6. Ibra kadabra00

    Post za wanafunzi waliokosa shule Kidato cha Tano

    Jaman naomba kuliza post zinatoka lini? Kwa wale wanafunzi wa kidato cha nne waliofanya vizuri ktk mitihan yao ya kumaliza elimu ya secondary na kufanya vizuri ila Serikali ya Tanzania ikashindwa kuwapatia nafasi za yakujiunga na kidato cha tano. Tukikumbuka tamko la waziri wa elimu haki sema...
  7. Ibra kadabra00

    GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Yap ukawa mbele kwa mbele now tupo usariver tunamsubir kwa hamu xana
  8. Ibra kadabra00

    GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Kimandolo karibu na shulr na shule ya secondary kimando
  9. Ibra kadabra00

    GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Naona bodaboda zinatoka tengeru ,ungalimited ,Ngarenaro na huko munduli yani leo hakutoshi Wamasai wapo wanaelekea KIA
  10. Ibra kadabra00

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Kiukweli lowassa sio mtu wa kuchukiwa na jamii anapendwa sana Naunga na team lowasa kuleta madiliko katka nchi ya tanzania
Back
Top Bottom