Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Kaka ivi balaa unaiona wapi. Hizo sehem zote ni sehem ambazo cdm wanakubalika. Unazungumzia Arusha na Kilimanjaro,mbeya mjini na ilemela pia na Dar? Mbona bara mikoa ni mingi sana. Sasa unadhani mwaweza enda magogoni kwa kura za mikoa 5 kaka.

Mie nacho shauri vyama vyoote pigeni promo ila sie wapiga kura tusio wanavyama wenu tutakayo yaamua oct mlizike nayo na mtulie maisha na mishe ziendelee. Sio muanze kutuletea vurugu.

Hiyo mikoa uliyotaja ilikuwa 2010 hivi sasa imeongezeka. Hujaongeza na mikoa ya kule kwenye gesi. Wapiga kura vijijini mnaowategemea nao wamewachoka. Mwaka huu mna kazi......!!!
 
Mwanza huku tunaenda uwanjani kuanzia leo saa hizi kwaajili ya kumpokea Rais mtarajiwa kesho saa tano hamna hata haja ya kufanya kazi kwasababu hela yote ya kodi inaliwa kupitia ESCROW huku wakisema sio kodi yetu pambaf sana
 
wahini mapema makamanda. igp anaweza toa tamko lingine la kuzuia wananchi kukusanyika nje ya kilometa tano...
 
Naona bodaboda zinatoka tengeru ,ungalimited ,Ngarenaro na huko munduli yani leo hakutoshi
Wamasai wapo wanaelekea KIA
 
Tupeni mlolongo wa kila tukio na mtazamo wa baadhi ya watu juu ya uchaguzi na sababu zinazowafanya kuunga mkono Lowassa na Ukawa.

Ni muhimu sana pamoja na picha mambo mengine mjitahidi pia kutoa hamasa ya kupiga kura maana kwenye sanduku la kura ndiko kuna mabadiliko vinginevyo uwingi wa watu kwenye kampeni kunaweza kusiwe na maana sana.

Piga kura ya mabadikiko, chagua Lowssa na Ukawa nchi itasimama vema.
 
attacks za UKAWA kama jeshi la veitnam...hii gharka hata safina c k2,peopleeeeeeeeeees....
 
Tena nina mshauri apite ile njia ya kazini na kwa RPC ili nae aliunge.

Hahahaha mkuu hao washajiunga kimyakimya Jana nilikuanaosehem nikawa naonyesha picha za mbea haowazee wa cape wakajikusanya wakawa wana zicheck huku wanacheka chekatu kiaina sababu walikuwa kwenye sutizao za kazi.
 
Back
Top Bottom