Recent content by Ibn Abasi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    We acha tuu, nimweka chuo... Nataka niwa zuge wanipe. Kuna mtu kanishauri nitoe sasa haitoleki... Kuna anayefaham njia mbadala??
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hiyo ya mwisho ni mwaka wa kuhitimu kidato cha nne, kwahiyo fata mashariti yao kama mnataka kazi. Msiwapangie. Mf s11111-11111-2022
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Shida nini jamani, nataka ni edit taarifa zangu mzigo unagoma, Unaload mpaka nagaili. Shida ni mtandao au ndo basi tena, kama uliweka elimu ni chuo kikuu kumbe form 4 ndo imekula kwako??
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Aisee nimetumiwa password, nimelogin kucheki taarifa zangu. Nikakuta ziko fresh. Nikaipakuwa na form no1. Nilipo logout, kulogin kuiupload form no1 iliyosainiwa MZIGO UMEGOMA. NINI SHIDA HAPA ??
  5. I

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    asante! nimejifunza kitu hapa
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wazo la kutengeneza kikundi cha vijana wajasiliamali

    Sasa ishu za whatsup ndo balaa kwangu. sina akaunti wala simu yenye uwezo huo. SIMU YANGU INAINGIA JF NA FB PEKEE, Hata twitter na email login NI SHIDA. Vp TUTASAIDIANAJE HAPO kiongozi??
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wazo la kutengeneza kikundi cha vijana wajasiliamali

    AISEE MM NIMEMALIZA DEGREE YA UHASIBU TOKA MWAKA JUZI NA SIJAPATA AJIRA NA WALA DALILI HAKUNA. Naomba nijumuishe kwenye hilo group huenda tukafanya kitu.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Juice ya tende na maziwa

    Naomba kujua vipimo vya material yake ili kuleta radha inasifiwa na wadau. Mfano tende, karanga na hayo maziwa kwa kiasi gani kila kimoja kwa mfano??
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuanzisha biashara ya maziwa fresh na mtindi

    Habari zenu wadau wa jf. Mimi ni kijana umri miaka 25, nipo Dar es salaam. Nimepata wazo la kuanza kusambaza kwa reja reja mitaani maziwa ya ng'ombe ya fresh na mtindi yanayotengenezwa viwandani mfano Asasi, Tanga fresh, Dar Fresh n.k. Nina Kadell kadogo kanachoweza kuchukua maziwa 45 hadi 50...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Laptop 4 Sale

    Vp kaka mbona kimya. Ulikuwa na ngap kwa mfano??
  11. I

    JamiiForums Tanzania Laptop 4 Sale

    Processor: intel (R) Core (TM)2 Duo CPU T 6400@2.00 GHZ 2.00 GHZ Screen size; 14
  12. I

    JamiiForums Tanzania Laptop 4 Sale

    Thanx kwa ushauri ndugu
  13. I

    JamiiForums Tanzania Laptop 4 Sale

    Ukweli ndo mpango mzm mjini hapa
  14. I

    JamiiForums Tanzania Laptop 4 Sale

    Ukweli ni Hazina, Utakulinda baadaye ukizidiwa
  15. I

    JamiiForums Tanzania Laptop 4 Sale

    Ni Used LAPTOP. Aina yale ni Dell PC- inspiron 1525. RAM ni 2 GB, Rating yake ni 3.1 na Hard Disk ni 160 GB BEI = Tsh 170000/= Tu TATIZO LAKE = BETRI HALIKAI NA CHARGE HATA Sekunde Contacts;0718031368/0789473363 Mahali Inapopatikana - Dar es salaam, Tanzania If your Interested, KARIBU
Back
Top Bottom