Hakuna tunajadili hapa hapa kwakuwa neno lipo wazi ww ndio umeniquote Mimi sijakufata wewe na mie sheria zangu kabla ya kujadiliana na mtu lazima nipime uwezo wake wa akili nisije kuwa naweka mjadala na mtu mwenye post traumatic disorder nikishajua basi naenda nae hivyo hivyo
Tena nimekumbuka...
Kama tunataka taifa lililo imara lazima tusaidie wenye Afya ya akili
labda hujajua madhara yake kuanzia kamari ulevi drugs abuse hizi zote zinapelkea tatizo la Afya ya akili najua mpka hapa nimekupa habari za schizophrenia lakini ambayo hii inatokea katika non organic psychoticdisorder
Twende taratibu Mimi nataka nikupe habari za Afya ya akili ili taifa letu lisipotee maana dalili zote unaonyesha kuna aina 2
organic psychotic na non organic psychotic
Tuanze na ipi
Kitendo cha kushindwa kunielewa hiyo ni dalili kubwa ya schizophrenia kinaitwa flight of ideas yaan Mimi tupo na mjadala wee unasema huelewi sasa hujaelewa nini wakati mie nakuelewa Mimi naongelea psychotic disorder unaona unavyoyumba 😂😂
Umeanza kuwa na akili sasa Mimi nilijua wewe hujarogwa sasa hivi ndio walevi wengi wanavyokuwa akishakunywa pombe kwakuwa pombe inatoa effect katika CNS unadhani pombe zikiwa mtaani na hazina ubora si tutazalisha vichaa weng
Unajua watu wana changanya sana Kati ya schizophrenia na kurogwa lakini kiuhalisia hiyo ni dalili kubwa ya psychotic disorder na dalili zake zofutazo
Kujiona una akili kushinda wenzako
Kuwa na hasira kila wakati
kutukana mtu bila sababu
Kumchukia mtu bila sababu
Matarajio makubwa bila jitihada...
Watajua wenyewe dunia ni uwanja wa vita ukiwa legelege yatakukuta mengi inatakiwa uishi kwa akili sana hivi ushakuwa mwanaume halafu unakuwa shoga huoni kama utakuwa na matatizo ya akili sasa mtu kama huyu mie siwezi kupoteza nguvu zangu kufatilia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.