Recent content by ibinadam0442

  1. ibinadam0442

    Wizara ya elimu nayo ni jipu, inachanganya siasa na elimu

    Hii wizara inafanya vitu bila kuwa na vission huwa inakurupuka tuu sometimes tutachoka na maamuzi yenu.. pesa zetu za application tuliokosa vyuo mmechukua hamjaturudishia..vijana tupo mtaani tuu hatuna mishe yoyote
  2. ibinadam0442

    NACTE MNATAKIWA KUSIKILIZA SAUTI ZA WAKUBWA WENU

    kutokana na kutokuwa na msimamo mkawa mnaongozwa ongozwa tuu kama hamjaenda shule sasa tunachotaka rudisheni pesa zetu za application tulizo zitumiaga ktk maswala mazima ya kufanya application za ku apply vyuo ktk ngazi ya bachelor kutokana na kuto kukidhi vigezo vipya alivyo vipanga boss wenu...
  3. ibinadam0442

    NACTE turudishieni pesa zetu

    Hawa jamaa inabidi warudishe pesa zetu kama vigezo vya kujiunga na Bachelor tulikosa haliakuwa tulifanya application mwezi wa Tano wakati GPA ilikuwa 2.7 na guide book ilikuwa inaonyesha hvyo na selection zimetoka tumekosa vyuo si warudishe pesa zetu.Dhuluma hii kama nacte wangekuwa wana msimamo...
  4. ibinadam0442

    Jamani msaada please mwenye uelewa hapa

    skilizia system itakuwa inazingua
  5. ibinadam0442

    Jamani msaada please mwenye uelewa hapa

    it's means haujachaguliwa fanya selection ya chuo kingine
  6. ibinadam0442

    Wanafunzi wa Diploma mliodhulumiwa fedha zenu fungueni kesi mahakamani dhidi ya TCU

    pesa si tatizo wametupotezea muda wetu tukiwa tunasubiria kufanya application za vyuo kama wakitaka kurudisha pesa wanapaswa kulipa na fain sababu wamekaa na pesa zetu muda mrefu
  7. ibinadam0442

    Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

    mafanikio hayaji kwa haraka huyo rubby ana mziki gani wa kuteka mashabiki amesahau wakina blue walipotoka[emoji23][emoji23]
  8. ibinadam0442

    Wanafunzi wa Diploma mliodhulumiwa fedha zenu fungueni kesi mahakamani dhidi ya TCU

    wahanga tupo wengi mm nilifanya application kupitia nacte Mwezi wa Tano kabla hawajaweka vigezo vipya ilikiwa gpa ya 2.7 sasa hatujajua hatma yetu tutapata chuo au la na kama hatutopata pesa zetu zirudishwe maana hii nchi inafanya mambo yake kwa KIKI ni vyema tukafanya maisha mengine tuu diploma...
Back
Top Bottom